NSSF kwafukuta: Meneja mpya wa majengo NSSF anafukuza wapangaji ambao ni walipaji wazuri wa kodi

Du hata Jumbo Camera,wapangaji wakubwa na wa miaka mingi, kwanza hilo jengo limekuwa kama mahame ni jengo chafu na bado lina maeneo mengi yaliyo wazi,angekuwa mjanja angelifanya kama China Plaza kwa kuligeuza na kuweka viwamba vingi na kupunguza tozo hapo wangeweza kutengeneza biashara.Inaonekana jamaa ana mipango ya kuweka watu wake.
Hata JUMBO wameambiwa waondoke, lakini ni kweli JENGO LIMECHAKAA, kuna PANYA WAKUBWA, wanakula hadi nyaya za magari ukiweka parking ya chini, Air condition nyingi hazifanyi kazi, kuna sehemu mvua zikinyesha maji yanaingia ndani, zaidi Generator moja limekufa, hayo yote hayaoni anapigania ujinga ambao hausaidii shirika.
 
uko sahihi kabisa, ila ukweli ni kwamba mimi sio mfanyakazi wa NSSF. ila unaweza take trouble kama uko Dar es Salaam, fika jengo la Benjamin Mkapa, mezzanine floor, zunguka uone ofisi ambazo watu wameondolewa, pia fika ofisi nilizotaja wameambiwa waondolewe au wahamishiwe majengo mengine ya NSSF utajua nisemacho. una haki kutoamini taarifa yangu moja kwa moja ili kumtendea haki mlalamikiwa, ila ni vyema kufuatilia ili kujiridhisha, na jambo hili lipo kwa maslahi mapana ya huu mfuko, na pia kwa maslahi ya wapangaji ambao kwanza wana mikataba na pili hawashindwi kulipa kodi.
Wewe siyo mfanyakazi wa NSSF hatahivyo unapata habari za undani toka kwa mfanyakazi asiyependezwa na mabadiliko aletayo Erio katika ufanyaji kazi za shirika. Mwambie nduguyo aache kulalama, achape kazi, kufanya kazi kwa mazoea wakati wake umepita. Nawe uanche kusambaza majungu, muda uliotumia kuandaa andiko lako, ulipaswa uutumie kujiingizia pesa wewe mwenyewe ambazo ungemsaidia hata huyo jamaa yako mvivu. Tuamke watanzania tuchape kazi pale tuliko, badala ya kuzunguzunguka kukusanya taarifa za umbeya na kuusambaza mitandaoni
 
NSSF KWAFUKUTA: MENEJA MPYA WA MAJENGO NSSF ANAFUKUZA WAPANGAJI AMBAO NI WALIPAJI WAZURI WA KODI
  • Alipewa cheo na Mkurugenzi Mkuu bila kufuata taratibu.
  • Aliletwa kama afisa wa kawaida toka PPF, ambako ndipo alipotokea Mkurugenzi wa sasa pia.
  • Anawafukuza wapangaji wanaolipa vizuri kwa kigezo cha kupata nafasi za kuweka ofisi.
  • Ofisi zinapewa maeneo makubwa kuliko mahitaji yanayostahili.
  • Ofisi nyingi alizoondoa watu ziko wazi.
  • Case study hii ni kwa Jengo la Benjamin Mkapa pekee. Mengine nashauri yafuatiliwe.
Hivi karibuni Mkurugenzi Mtendaji wa NSSF alimteua Bwana Augustino K. Paul kuwa meneja wa majengo (Estate Manager). Augustino K. Paul alihamishwa toka PPF baada ya sheria ya kuunganisha mifuko ya hifadhi ya Jamii. Na alikuwa ni afisa mdogo anayehusika na upimaji wa maeneo katika majengo ili kugawa kwa square meters pamoja na kushughulika na mambo ya ufundi na repair, ambako katika ofisi yao kuna watu wengi.

Siku moja Mkurugenzi Mtendaji alishuka na kufika ofisi ya watu wa Ufundi na akamkuta Augustino yuko peke yake, akatumia kigezo hicho kumpandisha cheo, toka afisa wa chini hadi kuwa Estate Manager, bila kuzingatia katika idara hiyo baada ya kuripoti kazini huwa wana kazi nje ya ofisi kushughulika na mambo ya maintenance, au kwenda kushughulikia majengo mengine yaliyo chini ya NSSF. Hivyo inaonekana kuna mpango uliopangwa na Mkurugenzi Mtendaji na yeye, kwa kuwa wote walitoka PPF basi akamtafutia nafasi ambayo ni dhahiri uwezo wake kuitendea haki ni mdogo.

Katika hilo jengo la Benjamin Mkapa hivi sasa amewaondosha wapangaji wa muda mrefu, ambao wamekuwa wakilipa kodi zao kwa wakati na kwa uaminifu, hadi sasa napoongea amewaondoa wapangaji watatu, mmoja kamuhamishia eneo jingine ambalo ni dogo kuliko la awali (ina maana mapato yanapungua), wengine bado wanavutana katika mchakato wa kuwaondoa.

Hivi sasa zaidi nusu ya majengo ya NSSF hayana wapangaji, mtu huyu badala ya kuweka mkakati wa kupata wapangaji wapya kwanza yeye ndio anafukuza wapangaji ambao wanafanya biashara zao na kulipa kodi, ambayo ndio kipato ambacho kinasaidia kuendesha taasisi, mtu huyu asipoangaliwa ataua baishara ya Real Estate iliyo chini ya NSSF, ni Dhahiri uwezo wake ni mdogo, huenda anastahili kubaki kuwa fundi wa upimaji.

MAKAMPUNI AMBAYO AMEFANIKIWA KUYAONDOA MPAKA SASA NI:-
  • PANACOM SOLUTIONS LTD
  • WILD DOGS TOURS & TRAVEL
  • STELLAH TRAVELS
  • SOLOHAGA CO. LTD.
KAMPUNI AMBAYO IMEHAMISHWA
  • ETERNAL INTERNATIONAL
BAADHI YA MAKAMPUNI AMBAYO TAYARI AMEANZA MCHAKATO WA KUYAONDOA NI:-
  • GESTA FINANCE
  • TAN ADVERTS
  • UNIVERSITY ABROAD REPRESENTATIVE (UAR)
  • JUMBO CAMERA HOUSE
  • ORIFLAME
  • NA MENGINE AMBAYO BADO HAJAYATAJA.
Sababu anayotumia ni kuwa anatafuta maeneo kuweka ofisi za wafanyakazi wa NSSF, kwanza unashindwa kuelewa hao wafanyakazi ambao inabidi idadi kubwa ya wapangaji lazima waondolewe ili wakae wako wapi? Kwa mtu ambaye angeangalia ugumu wa kupata wapangaji na jinsi ambavyo sehemu kubwa ya majengo ya NSSF hayana wapangaji, basi kama kweli kuna watu wanahitaji nafasi za kufanyia kazi kuna department angepeleka katika majengo ambayo yako wazi, kwanza unataka uweke ofisi ground floor na mezzanine imekuwa duka la nguo? Anashindwaje kutumia rasilimali alizonazo bila kuathiri mapato ya mfuko, ambayo hayo mapato yanahitajika ili kuendesha mfuko, kuwalipa wastaafu MAFAO, na kuweza kurejesha pesa za uwekezaji?

Huyu ni mfano wa wafanyakazi wa taasisi za umma ambao maamuzi yao yasiyo ya busara yamekuwa yakigharimu hizi taasisi kwa kiwango kikubwa. Mfano hao wapangaji anaowandoa kwa ulazima wana mikataba ya miaka mitatu, na kuendelea, je wakiamua kushitaki si mfuko itabidi ulipe fidia? Mimi nimeandika kama raia mwema, jambo hili liangaliwe na watu walio katika vyombo vya maamuzi ili lipatiwe ufumbuzi, na huyu ni Estate Manager wa nchi nzima, haya yote kayafanya Benjamin Mkapa Towers pekee, hatujui katika majengo mengine na mikoa mingine.

NB: CHA AJABU OFISI AMBAZO AMEWAONDOA WATU ZIKO TUPU, HAKUNA KINACHOENDELEA, ZIKO WAZI, UKITAKA ZIONA FIKA MEZZANINE FLOOR NA UZUNGUKE, KAMA ULISHANGAA YA MUSA SASA UTAONA YA FIRAUNI.

Majungu aka umbea+wivu
 
uko sahihi kabisa, ila ukweli ni kwamba mimi sio mfanyakazi wa NSSF. ila unaweza take trouble kama uko Dar es Salaam, fika jengo la Benjamin Mkapa, mezzanine floor, zunguka uone ofisi ambazo watu wameondolewa, pia fika ofisi nilizotaja wameambiwa waondolewe au wahamishiwe majengo mengine ya NSSF utajua nisemacho. una haki kutoamini taarifa yangu moja kwa moja ili kumtendea haki mlalamikiwa, ila ni vyema kufuatilia ili kujiridhisha, na jambo hili lipo kwa maslahi mapana ya huu mfuko, na pia kwa maslahi ya wapangaji ambao kwanza wana mikataba na pili hawashindwi kulipa kodi.
Hao wanao ondolewa ni wale wazee wa commission tu hawana jipya. Kodi ulipwa laki nne kwenye mfuko inapelekwa laki mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga huu upo kwenye taasisi nyingi za serikali
 
uko sahihi kabisa, ila ukweli ni kwamba mimi sio mfanyakazi wa NSSF. ila unaweza take trouble kama uko Dar es Salaam, fika jengo la Benjamin Mkapa, mezzanine floor, zunguka uone ofisi ambazo watu wameondolewa, pia fika ofisi nilizotaja wameambiwa waondolewe au wahamishiwe majengo mengine ya NSSF utajua nisemacho. una haki kutoamini taarifa yangu moja kwa moja ili kumtendea haki mlalamikiwa, ila ni vyema kufuatilia ili kujiridhisha, na jambo hili lipo kwa maslahi mapana ya huu mfuko, na pia kwa maslahi ya wapangaji ambao kwanza wana mikataba na pili hawashindwi kulipa kodi.
Kwahiyo unadhani wewe hao wapangaji niwajinga wasichukue hatuakm wameonewa mpaka uje wewe uwasemee? Au umetumwa? Kifupi ww unaonekana masrahi yko yameguswa! Au ndo wale wapangaji mlikuwa mnachukua fream nyie wafanyakazi kwa bei ya chee harafu mnawapangisha wafanya biashara kwa bei kubwa! Sasa umebanwa.
 
HAYA MALALAMIKO PIA YANATOKA KWA WAPANGAJI. MTU AKIWA HALIPI UNAKAMATA MALI ZAKE KUFIDIA, KISHA ANAPELEKWA MAHAKAMNI NA SIO KUONDOLEWA, UKIMUONDOA NI NANI ANAYELIPA DENI?
 
NSSF KWAFUKUTA: MENEJA MPYA WA MAJENGO NSSF ANAFUKUZA WAPANGAJI AMBAO NI WALIPAJI WAZURI WA KODI
  • Alipewa cheo na Mkurugenzi Mkuu bila kufuata taratibu.
  • Aliletwa kama afisa wa kawaida toka PPF, ambako ndipo alipotokea Mkurugenzi wa sasa pia.
  • Anawafukuza wapangaji wanaolipa vizuri kwa kigezo cha kupata nafasi za kuweka ofisi.
  • Ofisi zinapewa maeneo makubwa kuliko mahitaji yanayostahili.
  • Ofisi nyingi alizoondoa watu ziko wazi.
  • Case study hii ni kwa Jengo la Benjamin Mkapa pekee. Mengine nashauri yafuatiliwe.
Hivi karibuni Mkurugenzi Mtendaji wa NSSF alimteua Bwana Augustino K. Paul kuwa meneja wa majengo (Estate Manager). Augustino K. Paul alihamishwa toka PPF baada ya sheria ya kuunganisha mifuko ya hifadhi ya Jamii. Na alikuwa ni afisa mdogo anayehusika na upimaji wa maeneo katika majengo ili kugawa kwa square meters pamoja na kushughulika na mambo ya ufundi na repair, ambako katika ofisi yao kuna watu wengi.

Siku moja Mkurugenzi Mtendaji alishuka na kufika ofisi ya watu wa Ufundi na akamkuta Augustino yuko peke yake, akatumia kigezo hicho kumpandisha cheo, toka afisa wa chini hadi kuwa Estate Manager, bila kuzingatia katika idara hiyo baada ya kuripoti kazini huwa wana kazi nje ya ofisi kushughulika na mambo ya maintenance, au kwenda kushughulikia majengo mengine yaliyo chini ya NSSF. Hivyo inaonekana kuna mpango uliopangwa na Mkurugenzi Mtendaji na yeye, kwa kuwa wote walitoka PPF basi akamtafutia nafasi ambayo ni dhahiri uwezo wake kuitendea haki ni mdogo.

Katika hilo jengo la Benjamin Mkapa hivi sasa amewaondosha wapangaji wa muda mrefu, ambao wamekuwa wakilipa kodi zao kwa wakati na kwa uaminifu, hadi sasa napoongea amewaondoa wapangaji watatu, mmoja kamuhamishia eneo jingine ambalo ni dogo kuliko la awali (ina maana mapato yanapungua), wengine bado wanavutana katika mchakato wa kuwaondoa.

Hivi sasa zaidi nusu ya majengo ya NSSF hayana wapangaji, mtu huyu badala ya kuweka mkakati wa kupata wapangaji wapya kwanza yeye ndio anafukuza wapangaji ambao wanafanya biashara zao na kulipa kodi, ambayo ndio kipato ambacho kinasaidia kuendesha taasisi, mtu huyu asipoangaliwa ataua baishara ya Real Estate iliyo chini ya NSSF, ni Dhahiri uwezo wake ni mdogo, huenda anastahili kubaki kuwa fundi wa upimaji.

MAKAMPUNI AMBAYO AMEFANIKIWA KUYAONDOA MPAKA SASA NI:-
  • PANACOM SOLUTIONS LTD
  • WILD DOGS TOURS & TRAVEL
  • STELLAH TRAVELS
  • SOLOHAGA CO. LTD.
KAMPUNI AMBAYO IMEHAMISHWA
  • ETERNAL INTERNATIONAL
BAADHI YA MAKAMPUNI AMBAYO TAYARI AMEANZA MCHAKATO WA KUYAONDOA NI:-
  • GESTA FINANCE
  • TAN ADVERTS
  • UNIVERSITY ABROAD REPRESENTATIVE (UAR)
  • JUMBO CAMERA HOUSE
  • ORIFLAME
  • NA MENGINE AMBAYO BADO HAJAYATAJA.
Sababu anayotumia ni kuwa anatafuta maeneo kuweka ofisi za wafanyakazi wa NSSF, kwanza unashindwa kuelewa hao wafanyakazi ambao inabidi idadi kubwa ya wapangaji lazima waondolewe ili wakae wako wapi? Kwa mtu ambaye angeangalia ugumu wa kupata wapangaji na jinsi ambavyo sehemu kubwa ya majengo ya NSSF hayana wapangaji, basi kama kweli kuna watu wanahitaji nafasi za kufanyia kazi kuna department angepeleka katika majengo ambayo yako wazi, kwanza unataka uweke ofisi ground floor na mezzanine imekuwa duka la nguo? Anashindwaje kutumia rasilimali alizonazo bila kuathiri mapato ya mfuko, ambayo hayo mapato yanahitajika ili kuendesha mfuko, kuwalipa wastaafu MAFAO, na kuweza kurejesha pesa za uwekezaji?

Huyu ni mfano wa wafanyakazi wa taasisi za umma ambao maamuzi yao yasiyo ya busara yamekuwa yakigharimu hizi taasisi kwa kiwango kikubwa. Mfano hao wapangaji anaowandoa kwa ulazima wana mikataba ya miaka mitatu, na kuendelea, je wakiamua kushitaki si mfuko itabidi ulipe fidia? Mimi nimeandika kama raia mwema, jambo hili liangaliwe na watu walio katika vyombo vya maamuzi ili lipatiwe ufumbuzi, na huyu ni Estate Manager wa nchi nzima, haya yote kayafanya Benjamin Mkapa Towers pekee, hatujui katika majengo mengine na mikoa mingine.

NB: CHA AJABU OFISI AMBAZO AMEWAONDOA WATU ZIKO TUPU, HAKUNA KINACHOENDELEA, ZIKO WAZI, UKITAKA ZIONA FIKA MEZZANINE FLOOR NA UZUNGUKE, KAMA ULISHANGAA YA MUSA SASA UTAONA YA FIRAUNI.
Punguzeni majungu muwapo makazini maana tulio nje tunaweza kushauri kazi mnazofanya zitolewe kwa watoa huduma na nyie mrudi huku uraiani muonjo joto la kukosa kazi
 
Team Dau katika ubora wako
 
Nimesoma kwa umakini mkubwa huu uzi ; nilichogundua huyu mwandishi cyo mwananchi wa kawaida ila nimfanyakazi wa nssf

Lakini pia, nimegundua mleta uzi nimuhusika mkubwa wa hii mada , yawezekana kuna masrahi yake kwa wapangaji wanao ondolewa au alitarajia hicho cheo apewe yeye!

Jambo jingine ninacho ona hapo nssf watakuwa wamebanwa sana sasa hivi na urio! Maana ukiona manyoya jua kaliwa! Nssf palioza sana hakuna mtu asiyejua aliye wahi kuwa mwanachama wa mfuko huu.

Hata serikari ilipoyaunganisha mashirika haya wanachama tulifurahi, Nssf walikuwa wezi wote kuanzia mlinzi hata km alitolmka kampuni za ulinzi hadi mkurugenzi Nssf mlikuwa wezi sana! Mimi mmekula tsh. 600000/= mwaka 2011 yaani kwa nguvu kabisa. Nssf mlikuwa wezi acha mbanwe! URIO BANA KABISA HAO WOTE ULIOWAKUTA NSSF MAJIZI MAKUBWA.

Mliiba kuanzia miradi mpaka michango yetu ya wanachama!

URIO WAFUMUE WOTE HAO HUYO ALIELETA HII MADA NDO WALE WAPIGAJI WA Mpangaji analipa shirika laki3 yeye analipwa laki6.

Urio kufa nao hao safisha shirika nenda mwaza, geita , na kwingine.
Mteja/au mwananchi wakawaida hana muda wakuandika majungu mitandaoni na kuyaweka mpaka kwenye PDF....Inaonesha mtoa mada ni mfanyakazi wa NSSF na ambaye alikua akinufaika sana na kipindi cha uongozi wa Ayatolah/Mwinyi Ramadhan Dau, so anapinga mabadiliko/mageuzi yanayofanywa na mkurugenzi mpya

Kwa kuhitimisha: Bwana Erio endelea kusafisha NSSF, ukimaliza makao makuu hamia ofisi za mikoa/wilaya
 
NSSF KWAFUKUTA: MENEJA MPYA WA MAJENGO NSSF ANAFUKUZA WAPANGAJI AMBAO NI WALIPAJI WAZURI WA KODI
  • Alipewa cheo na Mkurugenzi Mkuu bila kufuata taratibu.
  • Aliletwa kama afisa wa kawaida toka PPF, ambako ndipo alipotokea Mkurugenzi wa sasa pia.
  • Anawafukuza wapangaji wanaolipa vizuri kwa kigezo cha kupata nafasi za kuweka ofisi.
  • Ofisi zinapewa maeneo makubwa kuliko mahitaji yanayostahili.
  • Ofisi nyingi alizoondoa watu ziko wazi.
  • Case study hii ni kwa Jengo la Benjamin Mkapa pekee. Mengine nashauri yafuatiliwe.
Hivi karibuni Mkurugenzi Mtendaji wa NSSF alimteua Bwana Augustino K. Paul kuwa meneja wa majengo (Estate Manager). Augustino K. Paul alihamishwa toka PPF baada ya sheria ya kuunganisha mifuko ya hifadhi ya Jamii. Na alikuwa ni afisa mdogo anayehusika na upimaji wa maeneo katika majengo ili kugawa kwa square meters pamoja na kushughulika na mambo ya ufundi na repair, ambako katika ofisi yao kuna watu wengi.

Siku moja Mkurugenzi Mtendaji alishuka na kufika ofisi ya watu wa Ufundi na akamkuta Augustino yuko peke yake, akatumia kigezo hicho kumpandisha cheo, toka afisa wa chini hadi kuwa Estate Manager, bila kuzingatia katika idara hiyo baada ya kuripoti kazini huwa wana kazi nje ya ofisi kushughulika na mambo ya maintenance, au kwenda kushughulikia majengo mengine yaliyo chini ya NSSF. Hivyo inaonekana kuna mpango uliopangwa na Mkurugenzi Mtendaji na yeye, kwa kuwa wote walitoka PPF basi akamtafutia nafasi ambayo ni dhahiri uwezo wake kuitendea haki ni mdogo.

Katika hilo jengo la Benjamin Mkapa hivi sasa amewaondosha wapangaji wa muda mrefu, ambao wamekuwa wakilipa kodi zao kwa wakati na kwa uaminifu, hadi sasa napoongea amewaondoa wapangaji watatu, mmoja kamuhamishia eneo jingine ambalo ni dogo kuliko la awali (ina maana mapato yanapungua), wengine bado wanavutana katika mchakato wa kuwaondoa.

Hivi sasa zaidi nusu ya majengo ya NSSF hayana wapangaji, mtu huyu badala ya kuweka mkakati wa kupata wapangaji wapya kwanza yeye ndio anafukuza wapangaji ambao wanafanya biashara zao na kulipa kodi, ambayo ndio kipato ambacho kinasaidia kuendesha taasisi, mtu huyu asipoangaliwa ataua baishara ya Real Estate iliyo chini ya NSSF, ni Dhahiri uwezo wake ni mdogo, huenda anastahili kubaki kuwa fundi wa upimaji.

MAKAMPUNI AMBAYO AMEFANIKIWA KUYAONDOA MPAKA SASA NI:-
  • PANACOM SOLUTIONS LTD
  • WILD DOGS TOURS & TRAVEL
  • STELLAH TRAVELS
  • SOLOHAGA CO. LTD.
KAMPUNI AMBAYO IMEHAMISHWA
  • ETERNAL INTERNATIONAL
BAADHI YA MAKAMPUNI AMBAYO TAYARI AMEANZA MCHAKATO WA KUYAONDOA NI:-
  • GESTA FINANCE
  • TAN ADVERTS
  • UNIVERSITY ABROAD REPRESENTATIVE (UAR)
  • JUMBO CAMERA HOUSE
  • ORIFLAME
  • NA MENGINE AMBAYO BADO HAJAYATAJA.
Sababu anayotumia ni kuwa anatafuta maeneo kuweka ofisi za wafanyakazi wa NSSF, kwanza unashindwa kuelewa hao wafanyakazi ambao inabidi idadi kubwa ya wapangaji lazima waondolewe ili wakae wako wapi? Kwa mtu ambaye angeangalia ugumu wa kupata wapangaji na jinsi ambavyo sehemu kubwa ya majengo ya NSSF hayana wapangaji, basi kama kweli kuna watu wanahitaji nafasi za kufanyia kazi kuna department angepeleka katika majengo ambayo yako wazi, kwanza unataka uweke ofisi ground floor na mezzanine imekuwa duka la nguo? Anashindwaje kutumia rasilimali alizonazo bila kuathiri mapato ya mfuko, ambayo hayo mapato yanahitajika ili kuendesha mfuko, kuwalipa wastaafu MAFAO, na kuweza kurejesha pesa za uwekezaji?

Huyu ni mfano wa wafanyakazi wa taasisi za umma ambao maamuzi yao yasiyo ya busara yamekuwa yakigharimu hizi taasisi kwa kiwango kikubwa. Mfano hao wapangaji anaowandoa kwa ulazima wana mikataba ya miaka mitatu, na kuendelea, je wakiamua kushitaki si mfuko itabidi ulipe fidia? Mimi nimeandika kama raia mwema, jambo hili liangaliwe na watu walio katika vyombo vya maamuzi ili lipatiwe ufumbuzi, na huyu ni Estate Manager wa nchi nzima, haya yote kayafanya Benjamin Mkapa Towers pekee, hatujui katika majengo mengine na mikoa mingine.

NB: CHA AJABU OFISI AMBAZO AMEWAONDOA WATU ZIKO TUPU, HAKUNA KINACHOENDELEA, ZIKO WAZI, UKITAKA ZIONA FIKA MEZZANINE FLOOR NA UZUNGUKE, KAMA ULISHANGAA YA MUSA SASA UTAONA YA FIRAUNI.
Nyinyi vitoto vya NSSF Tumechoka na vitabia vyenuu nyinyi msifanyee kazii vuteni midomo tuuu unazani huyo mkuuu aliyekujaa anwafukuza bure tumieni akiliii
Zipo sharia
Na achenii midomoo
Dau hayupo tenaa sasa mkubalieane na hali NSSF ya zamanai si ya leo
 
Unapoondoa wapangaji unakuwa unaongeza mapato au unapunguza???
Estate Manager hawezi kumfukuza mpangaji katika jengo la NSSF bila Menejimenti ya NSSF kukaa na kuridhia hayo mabadiliko. Maamuzi kama hayo hufikiwa baada ya vikao kufanyika, siyo suala la mtu mmoja kusema mpangaji huu aondoke
 
Mteja/au mwananchi wakawaida hana muda wakuandika majungu mitandaoni na kuyaweka mpaka kwenye PDF....Inaonesha mtoa mada ni mfanyakazi wa NSSF na ambaye alikua akinufaika sana na kipindi cha uongozi wa Ayatolah/Mwinyi Ramadhan Dau, so anapinga mabadiliko/mageuzi yanayofanywa na mkurugenzi mpya

Kwa kuhitimisha: Bwana Erio endelea kusafisha NSSF, ukimaliza makao makuu hamia ofisi za mikoa/wilaya
Uko huru kuwa na hisia hizo
 
Back
Top Bottom