NSSF kutumia Sh 400 bil kuzalisha megawati 300: Yajitahidi kuchukua KIWIRA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NSSF kutumia Sh 400 bil kuzalisha megawati 300: Yajitahidi kuchukua KIWIRA

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Mdondoaji, Feb 23, 2011.

 1. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Sadick Mtulya

  Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), unatarajia kutumia Sh400 bilioni kuzalisha megawati 300 za umeme na kuziingiza katika gridi ya taifa, ifikapo Desemba mwaka huu.

  Hatua hiyo, ina lengo la kusaidia kuondoa matatizo ya umeme yanayoikumba nchi kwa sasa.


  Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma(POAC), Zitto Kabwe aliimbia Mwananchi jana kuwa, mtaalamu mshauri wa utekelezaji wa mradi huo, amemaliza upembuzi yakinifu na kwamba mabilioni hayo ni kiwango cha juu cha makadirio ya mradi huo.


  "Jumamosi wiki hii, POAC itakutana na NSSF na Stamico pamoja na mtaalamu mshauri ili kupitia na kuujadili na ikiwezekana kuupitisha upembuzi yakinifu wa mradi.


  "
  Mradi unatarajiwa kutumia Sh400 bilioni ikiwa ni makadirio ya juu ya kuzalisha megawati 300 za umeme, utakaoingizwa katika gridi ya taifa ifikapo Desemba mwaka huu,'' alisema Zitto ambaye ni mbunge wa Kigoma Kaskazini.

  Mwanzoni mwa mwezi Februari, mwaka huu jijini Arusha, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk Ramadhan Dau alisema mfuko wake umemteua mtaalamu
  mshauri kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo, ambao utatokana na makaa ya mawe ya Kiwira.

  Pia
  Dk Dau alitangaza kuwa mfuko wake unaangalia uwezekano wa kutandaza bomba la gesi kutoka Mnazi Bay hadi Dar es Salaam na Mwanza.

  "
  Madhumuni ni kusambaza gesi inayozalishwa hapa nchini katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu," alisema Dk Dau bila kutoa ufafanuzi zaidi kuhusiana na mradi huo.

  Dk Dau alisema shirika linaendelea kuwekeza rasilimali katika miradi ya muda mfupi na mrefu na kwamba kutoka mwaka 2005/6 hadi 2009/10, uwekezaji wa mfuko uliongezeka kutoka Sh424.89 bilioni hadi Sh1.03 trilioni


  Katika hatua nyingine, Oktoba mwaka jana, NSSF ilipandisha pensheni kwa asilimia 52 na kwamba kutokana na mabadiliko hayo, kiwango cha chini cha pensheni kwa wastaafu kimeongezeka kutoka
  Sh52,000 hadi Sh 80,000 kwa mwezi.

  Source: Mwananchi.


  Akina mwanakijiji na wengineo ijapokuwa mna wasiwasi na huyu jamaa but the guy is simply Intelligent!. Sijui PPF, PSPF na LAPF wako wapi mie ningelipendekeza JK amteue kuwa waziri wa fedha (kama tungelikuwa tunateua kushinda mfumo wa sasa wa lazima awe mbunge).

  Naomba tujadilini nitaeleza sababu zangu baadae
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,610
  Trophy Points: 280
  Mmmmmm kwani hilo wazo lake au shinikizo??daraja wamepiga dana dana mwaka wa ngapi huu?ujiniasi wake uko wapi?labda kuwekana ki ndugu na udini pale nssf!
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  1. Ila inabidi wakumbuke kuna tofauti kubwa sana kati ya biashara ya majengo na hii ya umeme.
  2. Napendekeza mbali ya kuweka nguvu nyingi katika kuwekeza, vilevile waangalie uwezekano wa kumnufaisha mfanyakazi ambaye ndiye anayewawezesha.

  Watengeneze utaratibu utakaompatia mfanyakazi japo mikopo kabla hajafikia uzeeni. Siyo kusubiri hadi afikie miaka 65 eti ndio aanze kula pensheni. Anakaa miezi 6, anaaga dunia. Iwapi faida hapo.
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hii itabakia kama kumbukumbu tu - Hakuna cha mradi wa umeme wala nini! Hii sentensi ndiyo imeua kabisa!

  Kiwira? Dau must be kidding! Au ni another deal another day!
   
 5. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Angalau taifa litoke kwenye hali hii ya migao ya umeme na kusubiri kudra za mvua ya mwenyezi mungu at his leasure. Ukweli ni kwamba watanzania inabidi tuchukue hatua zakuhakikisha tunaendelea bila kusubiri kiyama au sijui kitu gani.
   
 6. K

  Kimanzi Member

  #6
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani huu ni mradi wa umeme siyo kama kulima nyanya, leo mwezi wa pili harafu unasema mwishoni mwa mwaka eti mtazalisha MW 300 na kuingiza kwenye grid!!! Mbona stahiki za wanachama wenu wanasumbuka sana kuzipata kulikoni NSSF?
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Feb 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Bilioni 400 kuzalisha 300MW? REally? and is that a good deal? Kiwira ingechukuliwa na Tanesco moja kwa moja...
   
 8. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Kuna harufu ya ufisadi kwa mbali hapa!! Mshauri Mtaalam ni nani, amepatikanaje? Subiri watashikana uchawi sasa hivi!!!
   
 9. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Haya bana if NSSF think theyr are there just to do anything prfitable for tanzanian basi

  • wajenge na shule

  • waanzishe na hospitali

  • wanunue na shirika la Reri na ikiwezkena hata ATCL
  Hivi what is the core mission of NSSF. Binasfi sioni kama ni sahihi NSSF kurukia miradi yeyote kwa kisingizo cha faida.

  Sasa nini tofauti ya NSSF na CRDB, NMB? watafute miradi ya Ki Social Social kweli
   
 10. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Wakijenga shule, Reli na ATCL hakuna faida as long as wanasiasa wana mkono wao. Project ya umeme ina faida na ni project ina uhakika wa kurejesha pesa kwani there is a monopolisation of market from Tanesco. Woga nilio nao ni akina Rostam (DOWANS) kutaka kumuangusha kwani MW 300 zinapunguza kama sio kuondoa kero ya umeme Tanzania (Gridi ya Taifa mahitaji ni MW 833 kadirio la juu na la kadirio la chini ni MW 701).

  According to Tanesco kukiwa na ukame uzalishaji wa umeme kutokana na maji uko katika kiwango za MW 180 na Mafuta (Akina Dowans, IPTL, Songo Songo) ni kama MW 290 utaona kuwa kama NSSF wakijenga kinu cha makaa ya mawe umeme wa Taifa utakuwa wa kueleweka kwani kutakuwa na umeme wa jumla ya MW 770 (mahitaji ni 701 - 833 MW). Hiyo ni kwa kipindi cha ukame.

  Kipindi cha mvua na maji yaani kukiwa hakuna ukame uzalishaji wa umeme wa maji hufikia kiwango cha MW 531 na ukiweka na vyanzo vyengine kama gesi, mafuta mazito ambao unazalisha umeme MW 290, wakijumlisha na NSSF MW 300 utakuta hatutakua na shida na umeme wa Dowans, IPTL ambao ni very very expensive. Tukibakia na umeme wa Songosongo, NSSF (Makaa ya mawe) na Maji mtera tutakuwa na jumla ya MW (530 + 230 + 300= 1060 MW). Umeme wa mgao unakuwa ni historia. Vile vile umeme wa makaa ya mawe ni bei rahisi sana kama ulivyo umeme wa gesi asilia kushinda umeme wa Dowans na nduguye IPTL wanaotukamua walalahoi.

  Vile vile wakijenga kinu hicho wakaingiza katika gridi itasaidia hata kupunguza makali ya maisha kwa umeme umekuwa bei mbaya sana Tanzania.

  Hii ni sababu ya kwanza faida ya project hii.
   
 11. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Sababu ya pili,

  Project ya kutandaza mabomba ya gesi katika miji mikubwa ya Dar na Mwanza kutasaidia kushusha gharama za maisha kwa kiwango kikubwa sana ila umakini na ungalifu mkubwa unahitajika kuhakikisha usalama wa raia. Gesi ikifika majumbani mwetu tutapunguza gharama za mkaa tunaonunua kila siku kwani gesi itakuwa bei rahisi mno. Vilevile tutahifadhi mazingira kwani mahitaji ya makaa itakwisha kwani itabidi kila mkaazi wa dar atumie gesi kwa mahitaji yake.

  Sasa kama if every thing goes to plan sijui wataweza price per unit bei gani ila mfano kama wakiweza kusupply Dar na Mwanza miji ambayo jumla ina wakaazi karibia milioni 6 au 7 . Unakutaka jamaa wana wateja kama milioni 4 ambao watabidi watumie gesi kupika, kuwashia baadhi ya mashine. wakiuza unit moja shilling 72 (my assumption).

  Kwa mtumiaji wa kawaida according to experience yangu katika kazi hizi unajikuta.
  Household consumer:
  sidhani hata kama anapika kiasi gani unit 100 ni nyingi sana kwa mwezi= 72 x 100 = 7200 x 3,000,000 (Households Mwanza na Dar (assumption tu)= 23 Billion per month

  Business consumer:
  tuseme yeye anachargiwa unit 1 ni kama shillingi 100
  Unit 200 kwa kila business consumer = 100 x 200 = 20,000 x 1,000,000 = 20 Billion per month

  Sasa hata kama hiyo project itacost Billioni 1000 wanauwezo wa kurudisha hizo hela kwa muda mfupi sana.
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mdondoaji, kiasi gani kinahitajika kujenga bwawa la umeme wa kuzalisha 300MW?

  Kiasi gani kinahitajika kufanyia matengenezo mabwawa yaliyopo ili kuweza kuyarudisha katika kiwango cha juu cha uzalishaji wa angalau 300MW?
   
 13. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini tunahangaika kila leo kumbe dawa ya matatizo yote tunayoyapata ni Dr. Ramadhani Dau na NSSF. Ningemshauri Dr. Ramadhani Dau asiishie kuwekeza katika umeme tu, aangalie na matatizo ya maji, elimu, usafiri, mawasiliano, afya na mambo yote yale yanayotuletea kero.

  Hakika Dr. Ramadhani Dau kwa ubunifu wake katika kuboresha maisha ya Watanzania, ameonyesha ufanisi na uzalendo wa hali ya juu na sioni kwa nini wananchi wasimkabidhi kabisa nchi hii aiendeshe. Dr. Dau, upo ? Tumekwama tuokoe !
   
 14. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Si kazi ya mifuko ya aina ya NSSF kufanya kazi za Biashara ya Nyumjba umeme na viwanda.

  Huu ni Utapeli mpya wa kitaifa, ni njama mpya za kudumisha Ufisadi Tanzania.
  Hakuna umeme wala nini hapo.
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  China To Invest $400m For Kiwira Coal Project


  EBR Staff Writer
  Published 12 August 2009


  The government of China has offered $400m loan to the Republic of Tanzania for a 200MW coal power project, informed the Chinese government.

  Mizengo Pinda, Prime Minister, revealed that the Chinese government plans the investment to revive the controversy-plagued Kiwira coal mine in Mbeya Region.

  Pinda said the Government and China have plans to operate the mine, with China to pump in the huge amount of funds over unspecified period. Some Chinese investors, linked with a joint venture in privatisation, aimed at generating 200MW of electricity using coal.

  William Ngeleja, energy and minerals minister, informed that the funds would be invested in Kiwira coal power project, which the government has acquired from private investors.

  William Ngeleja, said: "This is a short-term project. Give it two years and it will be generating 200MW."

  Currently, the deamand for the electricity in the east African nation is 787MW and is expected to be increased to approximately 900MW by the end of 2009.

  ===================================

  The Citizen
  (Dar es Salaam)
  12 August 2009


  Tanzania: China Set to Pour Sh520 Billion Into Kiwira Coal Mine

  The Chinese government is to invest $400 million (Sh520bn) to revive the controversy-plagued Kiwira coal mine in Mbeya Region, Prime Minister Mizengo Pinda announced yesterday.

  Pinda said the Government and China have agreed to run the mine, with China expected to pump in the huge amount of funds over unspecified period of time in efforts revamp the mine's operations currently in limbo.

  Speaking in Kiteto District yesterday as part of his tour of Manyara Region, Mr Pinda revealed that the Government had settled on China among hundreds of other bidders to take over the running of the mine.

  Mr Pinda did not give further details on the Chinese deal for the mine whose privatisation in 2005, to a firm reportedly linked to former President Benjamin Mkapa, failed and ignited public resentment of the State's handling of the matter.

  The Prime Minister spoke at a function to inaugurate an international school in Kiteto that was also build with support of Sh1 billion donated by China. He said the school was testimony to the continued good bilateral relation between the two countries, adding that the China was also going to play a major role in the revival of Air Tanzania Company Limited (ATCL), and also the funding of the agricultural bank.

  At the Kiwira coal mine, China would be making a come back following the Asian country's contribution in building the mine in the early 1980s for Sh4.2 billion. The mine had, however, underperformed over the years and grounded to a halt following lack of investment and business, before the Mkapa administration decided to sell it in the controversial deal.

  Some Chinese investors were also linked with a joint venture in the privatisation that was aimed at generating 200MW of electricity using coal. It was, still therefore, not clear if the same firms would be involved in the deal announced by Mr Pinda.

  Last month, the Government, however, absolved Mr Mkapa from suspicion surrounding the mine's sale, with Energy and Minerals minister Mr William Ngeleja, telling Parliament that the former President withdrew his shares from the firm in 2005.

  Mr Ngeleja explained that the former President's 200,000 shares in the venture, held through ANBEN Ltd, were recalled after the firm failed to pay for them. This appeared to absolve him from accusation that he used his influence as head of state to engineer the failed venture.

  The minister said the Government had resolved to compensate other firms involved in the sale venture and retake the coal mine for development. The other firms included Devconsult International Ltd, Universal Technologies Ltd, Choice Industries Ltd and Fosnik Enterprises Ltd. Each held equal stake like that of Mr Mkapa.

  The mine has since been reanmed Kiwira Coal and Power Limited (KCPL), with the Government then saying any new firm that takes over its operations would work jointly with the State Mining Corporation (Stamico) and the Tanzania Electricity Supply Company (Tanesco).


  ==================================

  By ALVAR MWAKYUSA,
  12th December 2010

  CONTROVERSY still surrounds the takeover of Kiwira Coal and Power Limited (KCPL) by the government, since it is not clear who is incharge of the property.

  The revelation comes at a time when the government says it has secured a soft-loan of $400 million (about 600bn/-) from China to revamp the facility which was sold to TANPOWER Resources Limited in 2005 for just 700m/- under dubious circumstances.


  According to the Minister for Energy and Minerals, Mr William Ngeleja, the government has secured the soft loan from the government of China to generate some 200 megawatt (MW) of electricity at the facility.


  In his contribution during the Ministry of Energy and Minerals' working-session held in Dar es Salaam on Friday, the ministry's Director of Policy and Planning, Mr Invocavit Swai wondered as to why the mine had not been fully taken by the government.


  "We need to know whether the government owes the company or it is the other way round. There was an assessment which was to be carried on the company to establish its assets and liabilities but nothing is happening," charged Mr Swai, at the meeting which was chaired by Minister Ngeleja.


  Also present at the meeting was Deputy Minister, Mr Adam Malima as well as other top officials from the ministry.


  In response, the Commissioner of Minerals in the ministry, Dr Peter Kafumu maintained that there was no going back on the issue since the decision to repossess Kiwira was reached in Parliament.


  He explained that discussions were at advanced stage between the responsible parties and that unanswered questions will soon be brought to the limelight.


  "Discussions are at advanced stage between the investor, Treasury Registrar, State Mining Corporation (STAMICO), Tanesco and Consolidated Holdings Corporation (CHC)," Dr Kafumu said.


  Adding; "It's after these discussions have been finalized that we will be able to know the real situation."


  Speaking to reporters later, Minister Ngeleja said it was resolved that Kiwira be put under Tanesco and Stamico, but quickly added that discussions between responsible parties would give a clear direction of the issue.


  The mine was built in the 1980s for 4.2bn/- by the Chinese government, before it was sold under dubious circumstances to TANPOWER Resources Limited in 2005.


  Mr Ngeleja is on record for saying that as part of the buyback plan, the government intends to reimburse shareholders' costs incurred since taking over the mine.


  But the Parliamentary Energy and Minerals Committee strongly rejected such intentions, demanding instead that the private investors (TANPOWER Resources) return to the state some 17bn/-.


  The committee's then chairman and former Bumbuli lawmaker, Mr William Shellukindo had said it was absurd for the government to consider reimbursing the Kiwira mine shareholders for costs incurred, even in the face of failure to develop the facility since acquiring it from the government.


  ==================================

  MPs query 10bn/- NSSF loan to Kiwira mine company

  THISDAY REPORTER
  Dodoma

  THE opposition camp in Parliament has demanded explanations from the Government over the circumstances surrounding a $7m (approx. 10bn/-) loan given to the Kiwira Coal and Power Company Limited by the state-owned National Social Security Fund (NSSF).

  Lawmakers noted that the short-term loan issued in 2007 was supposed to be repaid in full with interest within six months, but the privatised Kiwira mine company has so far defaulted on the payments.

  ''It is surprising that the Government offered to guarantee this loan because it is the people, including NSSF members, who will be forced to shoulder this burden if the Kiwira company cannot pay,'' the Shadow Minister for Labour and Youth Development, Salim Abdallah Khalfani, declared in Parliament yesterday.

  Khalfani, the legislator for Tumbe Constituency in Pemba on a CUF ticket, was presenting the opposition camp's rejoinder to the Ministry of Labour, Employment and Youth Development's 2009/10 budget proposals presented by Minister Prof. Juma Kapuya.

  NSSF, the country's biggest pensions fund, falls under the portfolio of the labour ministry. The opposition camp demanded clarifications from the Government on overall expenditures amounting to more than 72bn/- made by NSSF in the previous financial year.

  Khalfani echoed a catalogue of audit queries previously raised by the Controller and Auditor-General (CAG) on the hugely controversial NSSF loan to Kiwira Coal and Power Company Limited.

  According to the CAG's latest annual report, NSSF offered the hefty loan to the company running the Kiwira coal mine in Mbeya Region without any backing through collateral.


  Thus NSSF, as the lender, has no entitlement to any Kiwira Coal and Power Company assets in the event of the borrower failing to repay the loan.

  The July 10, 2007 loan agreement does not specify any collateral offered as security, besides generally stating under section 10.15 that all properties and business should be kept insured.

  According to the CAG's report, NSSF issued the unsecured investment loan to the company contrary to the pension fund's own regulations.

  Section 2.4.1 of NSSF's investment manual directs that security to investment loans should be first charged on fixed and immovable assets, which can be easily sold to cover any risk of default.

  The loan to Kiwira Coal and Power Company, which was formed to run the mine following its 2005 privatization and hand-over to private company TANPOWER Resources in much-documented circumstances, was guaranteed 75 per cent by the Government.

  Available records show TANPOWER Resources to be the current main shareholders in the privatised mine, holding a 85 per cent stake while the Government continues to retain the remaining 15 per cent.

  The records also show TANPOWER Resources to be a private company whose senior shareholders include close relatives of ex-president Benjamin Mkapa and ex-energy and minerals minister Daniel Yona.

  According to previously-published THISDAY findings, the 2005 'fast-track' privatisation exercise which ultimately saw TANPOWER Resources assume control of the mine was apparently jointly engineered by Mkapa and Yona, in their capacities as president and minister responsible for minerals at the time.

  The subsequently-formed Kiwira Coal and Power Company Limited then entered into a lucrative, $271m (approx. 380bn/-) deal with the state-owned Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) to supply up to 200 megawatts of coal-fired electricity to the national power grid.

  Prime Minister Mizengo Pinda recently announced in Parliament that the Government will regain 100 per cent ownership of the Kiwira mine, thus effectively reversing the dubious privatisation process.

  The upcoming 2009/10 budget proposals of the Minister for Energy and Minerals, William Ngeleja, are expected to shed more light on exactly how the Government will go about re-nationalising the mine.

  =======================================

  Tanzania turning to coal-generated electricity

  DAR ES SALAAM, TANZANIA

  In a move to diversify electricity generation, the Tanzanian government is negotiating with a local coal company about generating and supplying electricity to the national power grid, local media reported recently.

  Both the government and the state-run Tanzania Electric Supply Company Limited are negotiating with the Kiwira Coal and Power Company, a public firm, on the feasibility of feeding 200 megawatts of electricity to the national grid by the end of next year.

  The negotiations are expected to finally conclude late this April or early next month, according to sources close to the Ministry for Energy and Minerals.

  The coal company is said to have the potential of generating 400 megawatts of electricity.

  But the three parties now involved in the negotiation have agreed through an agreement of intent about a scheme of tasking the coal company to generate 100 megawatts by mid next year and adding up another 50 megawatts by the end of next year.

  Tanzania has been relying on hydropower for the past four decades, with seven hydropower plants combining to boast of an installed electricity generating capacity of 656 megawatts.

  Yet due to the failure of rainfall in the short rain season late last year and early this year, these hydropower plants were only operating at 30 percent of their capacity, thus causing a nationwide power rationing that at one time lasted for as long as 16 hours a day in Dar es Salaam.

  Tanzania's demand for electricity is 550 megawatts while its actual power consumption is around 400 megawatts.

  The east African country has been resorting to natural gas- fired turbines to compensate for the electricity shortfall.

  The steadily decreasing rainfall in recent years have forced the Tanzanian authorities to consider diversifying electricity generation so as to reduce sole reliance on hydropower, though affluent in the country but unreliable.

  Natural gas is one source of energy for this power generating diversification program while coal stands the other, according to the ministry sources.


  ==================================

  My Take:
  Huu mtandao wa buibui utageuka na kuwakamata watu huko mbeleni tutashangaa.

  Hizo fedha walizopewa na China dola milioni 400 zina uhusiano wowote na shilingi bilioni 400 (msiniulize juu ya exchange rate - maana sehemu nyingine ikigeuzwa kuwa hela ya madafu inakuwa bilioni 520) ambazo NSSF imesema iko tayari kutumia?

  Maana kama NSSF itatumiwa kupitisha fedha toka China itabidi tujiulize kwanini wasiingize kupitia Tanesco au STAMICO?
   
 16. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  "Hizo fedha walizopewa na China dola milioni 400 zina uhusiano wowote na shilingi bilioni 400 (msiniulize juu ya exchange rate - maana sehemu nyingine ikigeuzwa kuwa hela ya madafu inakuwa bilioni 520)ambazo NSSF imesema iko tayari kutumia? Maana kama NSSF itatumiwa kupitisha fedha toka China itabidi tujiulize kwanini wasiingize kupitia Tanesco au STAMICO? "

  Du! Zilishatolewa tayari hizi fweza? Yaani mpaka kidhungudhungu!!!
   
 17. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2011
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hapo ndipo ninapoipendea JF,

  Ukija na mada yako uje sawasawa. Sijui hapa alitaka kupewa ujiko Dr DAU au masikini alipendezwa na ahadi tamutamu!, mradi huo huo unabadilishiwa viswahili yaani mpaka basi. Mimi nalia na vyombo vyetu vya habari, vinadhani watanzania ni rahisi kusahau lakini wao wanazo kumbukumbu kama hivi inakuwaje wanakaa kimya tu na usanii wote huu. Siku moja navyo vitakuja jibu, we ngoja tu.
   
 18. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Ndio maana nawashangaa kweli kweli wanaomfagilia Dr. Ramadhani Dau na NSSF kwani siku madudu yatakapowekwa nje nje wazalendo tutalia.

  NSSF ni kama conduit inayotumiwa kijanjajanja kula hela zetu kwa kisingizio cha kuwekeza - hadi kwenye umeme? Sasa huo mkopo wa bilioni 520 kutoka China zimetumika vipi na lini? Kweli ujanja kupata, we are being screwed left, right and centre na sisi kama mazuzu tunawashabikia hao wanaotunyonga!

  Kikwete ataimaliza nchi jamani!
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nyie subirini tu...

  Upande wangu sikutaka ku-deal na hili la Kiwira kwani tulipoanzisha ile kampeni ya kuirudisha Kiwira mikononi mwa Watanzania hatukuambiwa tunawaonea watu. Lakini sasa inaonekana wameamua kufanya wanavyotaka kufanya kwa sababu wanaweza.
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,861
  Trophy Points: 280
  Mradi lazima utaitwa Quality Power Ltd...with Manji behind it...I can't see a 400bn doll without an Indian hand in it
   
Loading...