zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
NSSF watawekeza fedha na sio watafuwa wao umeme. Mbona mnapenda kuchanganya mambo?
NSSF washawekeza kwenye majumba, kwani wao ndio wanajenga? Si huwapa kampuni za kujenga? Na majumba yakishakuwa tayari kwani wao ndio wanaya-manage? Si wanawapa kampuni za real estate zenye uzoefu?
Hali kadhalika kwa umeme, itakuwa hivyo hivyo, na tuondokane na haya madudu ya Tanesco.