NSSF kujenga daraja la Kigamboni, ni uwekezaji au kusaidia kutekeleza ahadi za CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NSSF kujenga daraja la Kigamboni, ni uwekezaji au kusaidia kutekeleza ahadi za CCM?

Discussion in 'Major Projects in Tanzania' started by Dullo, Aug 5, 2011.

 1. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika mchakato wa ujenzi wa daraja la Kigamboni ambapo wadau wakubwa katika ujenzi huo ni NSSF kwa ushirikiano na serikali ya TZ.

  Hapa ni kigugumizi kwa sababu naona wanachofanya ni kutekeleza ahadi za CCM kwa kutumia fedha za watanzania wanaotegemea fedha hizo kuwasaidia baadae. Hivi kwanini NSSF isitumie fedha hizo kwa kuwakopesha wanachama wake? Jamani mwenye mawazo mbadala atujuze!!!
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Vyote!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kweli mkuu NSSF wanakula tu faida kuuubwa sisi wanachama hatunufaiki na lolote, Vitega uchumi wanavyo vingi sana kwa nini wasikopeshe wanachama wake? inaniudhi sana hii iisue
   
 4. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu hao serikali wenyewe wanamifuko yao hawachangii NSSF hata senti moja, kwani hawatumii mifuko yao ya LAPF,PSPF na mingine mingi wanakimbilia NSSF tu.
   
 5. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,797
  Likes Received: 1,339
  Trophy Points: 280
  Nchi hii ishauzwa, Kama hujui fahamu leo.Thibitisha Maneno yangu baada ya miak kumi.
  Kigamboni si Tanzania, kigamboni ni Singapore.


  Shortly, Hakuna mwafrika atakayeweza kuishi Kigamboni.
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wewe unachotaka nini? Si maendeleo tuu? Hata nyinyi magwanda kama munaweza jengeni.......Kumbe hampendi maendeleo ya nchi hii.........
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mr.NSSF yupo humu JF amejaa tele, natumai atakuja na majibu kabambe kukidhi maswali yako yote... behold!!!
   
 8. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni sehemu ya social corporate responsibility
   
 9. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hili swala linanichefua sana. Ukifuatilia mafao yako utapigwa kalenda kama kalenda!!! Ooh faili lako bado mara ah! Lazima uwe na smart card nawakati wanajua wazi uwezo wakutengeneza smart kwa wateja wake hasa mikoani hawana!!!!!!
   
 10. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,937
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  mimi binafsi kinacho niacha hoi ni jinsi watakavyorudisha hizi pesa.......maana investiment kama hizi zina social na indirect economic returns lakini halina financial returns........no return of capital na return on capital........kwa ujumla kukokotoa payback period ni ngumu.....labda watu wa investiment analysis watusaidie katika hili....
   
 11. Sober

  Sober JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 289
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Magari yatawekewa gate toll, asiyetaka kulipia atakua free kuzunguka njia ya mbagala, kongowe, tua ngoma ndio aipate kigamboni.
   
 12. MrNSSF

  MrNSSF Senior Member

  #12
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sisi kama shirika hatuna makuu. Unlike PPF, PSPF, na wengine

  Tunafanza investments ambazo zinawagusa wanachi moja kwa moja. Alitekuwa anatuchelewesha. Hazupo tena na serikali ishaji toa kauli kilichobaki ni kuleta maandishi ili watu wajimwage site. Kwa kuonzesha how serious we are. Tayari tenda zishatangaywa na walau tunaweza kupunguza unemplozment kwa muda, na serikali ikafaidia na taxes na baada za mradi kuisha mlio na mashamba vijibweni na kibugumo mtakuwa hamuna haja za kuzunguka
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani Serikali inaongozwa na chama kipi kwa sasa? Na hiyo NSSF ni ya nani?

  Mambo mengine yote yanayofanywa na Serikali si yako katika kutimiza sera za chama?

  Swali la mtoa mada lina walakin.
   
 14. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mtu anayepinga projects za NSSF huwa simuelewi kabisa....
   
 15. B

  Buganjo New Member

  #15
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni matumizi mabaya ya michango ya watu kwenye mifuko hiyo, aliyechangia atapewa riba kiasi gani kwenye mradi huo
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Adili na Nduguze hizi hadithi zimeanza tolewa tena?
   
 17. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Eeebana eh! kwani unatumia keyboard ya aina gani mbona lugha gonga sana?
   
Loading...