NSSF bado tuna safari ndefu

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Feb 1, 2015
2,300
2,716
Nilibahatika kufika Nssf Ubungo plaza. Kiukweli Hali no mbaya Sana kwa wateja halafu kwanini sekta hi mfanyakazi anapokuja kudai mafao yake anaonekan Kama ni ombaomba fulani.

Nadhani Kuna haha ya mheshimiwa Waziri aliangalie hili suala kwa kweli tuna Safari ndefu kama taifa kwa Ofisi ya mafao kuhudumia wateja kwa dharau , ubabe,
Suala Kama la form kwanini zisiwekwe online kila anayehusika aijaze halafu aidrop maisha rahisi. Lakini kufuata form tu ni msongamano plus vurugu plus vikwazo mara muhuri ukae wapi.

Completely ridiculous Nssf. Nadhani IT ingesaidia tu mtu ukitaka statement yako ya mchango una log in online unaipataje sio mpaka upange foleni msukumane.

Hili shirika linabidi liangaliwe upya je wanaendana na Kasi ya Happ kazi tu.

Sisi wateja ndio tunaotoa makato lakini tunapohitaji huduma kwenu mnatunyanyasa Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msione ndege zinatua tu walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba wa Taifa alipokufa pia Taifa nalo lilikufa. Siku hizi ili uhudumiwe mpaka uwe Identical. Ikiwezekana uende umevaa kofia ya kijani. Mimi baada ya kukosa mafao yangu nilitamanitutembelewe na alshabab ili akili zijipange upya. kiburi cha viongozi kinaisumbua hii nchi
 
Maajabu hate South Africa Ofisi za welfare ziko well established and organised

Kujaza form unajaza online Hapa tz pamoja na NIDA kuja na mfumo mzuri wa utambulisho lakini ukiritimba was Ofisi na taasisi nyingi kutumia NiDA Kama reference bureau database ya kurahisisha kazi hakuna .

Sioni sababu Nssf ukapigane na walinzi eti uandike jina kabla ya kuingia kucheki mafao yako. Una apply benefit unaanza kuzunguka na makaratasi. This is 21st century come on guys....

Msikalie viyoyozi tu na vitambi,wanawake mikorogo kazi inaendana na tehama. Msipangishe watu foleni wakati internet hata kwenye simu za mkononi zipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuielewa hii Tanzania kwenye upande wa Ofisi za Umma katika utoaji wa huduma. Hivi kweli mpaka leo bado watu wanahangaika na mafaili phyisical, wakat yanaweza kuwekwa mtandaoni na yakapatikana kokote kule alipo mhitaji huduma!

Ninapopapenda nchi hii ni Kwenye kutoa huduma tupo Analogue ila kwenye Kuspend tupo Digital.
 
...nssf a lot of paper works plus incompetency staff ndio vinaiangusha,..wafanyakazi ni wavivu na hawajui kitu

....wamechukua a/c number za bank za Wateja wanaidai mafao halafu wanahangaika eti kuandika cheque,..internet banking ingemaliza tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maajabu hate South Africa Ofisi za welfare ziko well established and organised

Kujaza form unajaza online Hapa tz pamoja na NIDA kuja na mfumo mzuri wa utambulisho lakini ukiritimba was Ofisi na taasisi nyingi kutumia NiDA Kama reference bureau database ya kurahisisha kazi hakuna .

Sioni sababu Nssf ukapigane na walinzi eti uandike jina kabla ya kuingia kucheki mafao yako. Una apply benefit unaanza kuzunguka na makaratasi. This is 21st century come on guys....

Msikalie viyoyozi tu na vitambi,wanawake mikorogo kazi inaendana na tehama. Msipangishe watu foleni wakati internet hata kwenye simu za mkononi zipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
...staff ni wavivu ...wamejaa viburi .
....hapo Ilala/Temeke ndio hopeless kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom