Nshomile hawa wamependeza.........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
214,690
2,000
12_10_jp1pvs.jpg


GRADUANDS, Yatera (left), Rosena Mngazija and Tunu Hajj congratulate one another during the 46th graduation ceremony at the Institute of Adult Education in Dar es Salaam on Friday. (Photo by Fadhili Akida).
 

KIBE

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
943
0
Bora wangevaa suti mana majohoo hayana samani sikuhizi hadi chekechea wanavaa wanapohitimu. Hakuna ze utamuuuu hapooo
 

Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,299
2,000
Siku hizi majoho hayana thamani tena, kwani huvaa majoho hata wa darasa la nane mradi Kikwete kamteua kuwa mwenyekiti wa baraza la chuo; huvalishwa majoho na kofia wanazostahili kuvaa wasomi wenye shahada za uzamifu, hayo tumeyashuhudia wakati wa mahafali ya chuo cha Hombolo!! Mtoto wa mkulima, oneni aibu chagueni wenyeviti wanaoendana na fani za usomi na sio ujomba ebo!!
 

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,296
0
ok mi naona wamependeza kikubwa naangalia kitu walichopata kichwani kwao kwa ajili ya kujenga taifa letu changa

Ni kweli inapendeza, wamepata elimu ya NGUMBARU. Elimu haijali umri jamani. teh teh!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom