Now Kalonzo, Mudavadi and Wetangula want to meet President Kenyatta

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
kalonz-and-Uhuru-Kenyatta.jpg

Wiper Party leader Kalonzo Musyoka has said that together with his two other NASA co-principals, Musalia Mudavadi and Moses Wetangula, they are seeking to meet President Uhuru Kenyatta.

Kalonzo says that when the three will try and get an appointment with Mr. Kenyatta when he comes back from his three day official trip to Cuba.

“Because we believe in constructive dialogue, kutokana na yale Raila alituelezea, huenda Wetangula, Mudavadi na mimi, tukikubaliana, tufanye kikao na President Uhuru Kenyatta sisi watatu ili tuskie upande wake… akikubali tutamuona, akikataa hatuwezi mlazimisha,” said Mr. Musyoka.

While supporting Raila Odinga’s meeting with President Kenyatta last week and calling for truce, Musyoka said they can work together with the government and still remain as one party.

“The intention is that NASA will stay as NASA, you can in opposition and work because this is one country, lakini tumekubali… If our captain ametupa kofia pale, facts speak for themselves,” he added.

Mr. Musyoka at the same time said he was the one who originated the dialogue talk after he came back from Germany only for Mr. Odinga to beat him to meeting with the president.

There have been rumours of disquiet in the coalition after Mr. Odinga met with the president alone without even informing his co-principals who were caught blindsided.

There was a NASA retreat on Monday where Mr. Odinga told the party leaders about his meeting with the president and what they discussed and agreed on.

Source: Citizen Tv
 
Wasifanye hii kuwa mazoea, bado tunahitaji makelele ya upinzani, sasa wakienda wote ikulu na kuingizwa king huku nje tutabaki na nani wakuikosoa serikali. Binafsi ningependa wapinzani waendelee kukosoa na kutafuta tafuta makosa kwa watawala.
Maana muda usio mrefu hawa jamaa wa Jubilee wanaweza kubweteka baada ya kuona hawana upinzani.
 
Good...As always politicians being spineless and masters of reinvention...Tumbocracy rules in Africa...Glad they got the script....
 
Kalonzo ameachwa Naked na Raila Odinga hii ni swift revenge kwa usaliti alioufanya 2007
 
Kalonzo ameachwa Naked na Raila Odinga hii ni swift revenge kwa usaliti alioufanya 2007

Mudavadi, Wetangula na Kalonzo ni kuonana na Raila for briefing na Mhe Ruto kuonana na Mhe Uhuru for briefing, sasa kule kwao kwenda kwa Uhuru maanake hawamuamini kiongozi wao Raila! Au vipi? Hatusikii Mhe Ruto akipanga kuonana na Uhuru(licha ni wazi kuwa kishampata Ruto briefing kama Raila alipofanya.
 
Kalonzo ameachwa Naked na Raila Odinga hii ni swift revenge kwa usaliti alioufanya 2007
Hapana raila kaumia siku ile anatake OATH hakuna kati yao aliyekuja ila sidhani kama chuki za 2007 hadi leo zipo
 
Hapana raila kaumia siku ile anatake OATH hakuna kati yao aliyekuja ila sidhani kama chuki za 2007 hadi leo zipo
Raila Odinga ndio the winner katiba ya Kenya inafanyiwa marekebisho na nafasi ya Waziri Mkuu inatengenezwa na Raila Odinga anakuwa Waziri Mkuu. ODM kama chama kikubwa ndani ya NASA ndicho kitakacho faidi makubaliano hayo.
Tayari mpango wa kumwondoa Senata Wetangula kama kiongozi wa upinzani bungeni umewasilishwa kwa Spika Lusaka. Senata James Orengo wa ODM anapewa nafasi hiyo.
 
Mzee wa vitendawili amewapa dawa yao. Walikataa kula kile kiapo cha Gideons Bible, Not for Sale pale bustani ya Uhuru. Wapambane na hali zao.
 
Raila Odinga ndio the winner katiba ya Kenya inafanyiwa marekebisho na nafasi ya Waziri Mkuu inatengenezwa na Raila Odinga anakuwa Waziri Mkuu. ODM kama chama kikubwa ndani ya NASA ndicho kitakacho faidi makubaliano hayo.
Tayari mpango wa kumwondoa Senata Wetangula kama kiongozi wa upinzani bungeni umewasilishwa kwa Spika Lusaka. Senata James Orengo wa ODM anapewa nafasi hiyo.
Aseeee hilo la wetangula limenishangaza ina maana ODM wameamua rasmi kujitenga?? I didn't see this coming inabidi musyoka asahau urais 2022
 
Hivi Babu Owino yuko wapi saa hii maana bwana wake ashamkubali Rais MaJaluo magovi takataka kabisa
 
Hapana raila kaumia siku ile anatake OATH hakuna kati yao aliyekuja ila sidhani kama chuki za 2007 hadi leo zipo

Raila amewapiga chenga la karne! They were initially contemplating seeking audience and harmony with President Uhuru but mzee wa vitandawili kagundua na kuwapiku/kawapiga chenga la mwaka! Hon Kalonzo asahau kabisa Urais 2022 angalikuwa mjanja angalijiunga na Jubilee kwa faida na heshima yake na kwa faida ya Wakamba angaa 2022 angalikuwa Deputy President na Ruto President wakati Prof Kindiki/Waiguru/Kabogo anakuwa Waziri Mkuu (non executive muundo wa Tanzania au Uganda)! Wamalwa/Ababu Namwamba Deputy Premier and Winnie Raila Deputy Premier!
 
Back
Top Bottom