Kalumbesa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,013
- 356
yaani mtu alipe $ 13 kwa kununua kitabu cha mwandishi wa uchochoroni (spade is spade) wakati kuna waandishi wa ukweli na mahiri wanauza bestsellers zao kwa $12, 11, 10 or less? hoja inayotolewa hapa haihusu content per se, bali in contrast with bei. sijui kaa unaelewa huu mjadala umeanzia wapi.
Ndugu yangu kitabu ndio kimetoka tu hata hajauza kopi kadhaa unataka apunguze bei, mimi navyofahamu unapotoa kitabu ukatangaza bei,unaangalia watu watakavyo respond,wewe unaweza kuona expensive lakini kwa wengine ikawa si expensive. MM anaweza kujikuta hiyo bei unayoiita ghali akauza kopi nyingi ikamlazimu kutoa nyingine, na kama hatopata response anayokusudia,kupunguza price ni one of the strategies.