NOW AVAILABLE: "Majeruhi wa Mapenzi" - Pata Nakala yako sasa...

Can u believe this; nimepatiwa invoice ya milioni 129 kuchapisha hiki kitabu!!!! VAT asilimia 18... nadhani China ni bora zaidi

Kwa gharama hizo unaweza kupata picha kwa nini reading is a luxury huku.
na ndio maana watu wa nje wanatutawala kwa standards zao sababu
tunazaliwa na kukua tukisoma Cinderella na Snow White, tunaamini
kua mweupe na straight hair ndio alama ya uzuri. (na kuolewa na mzungu)
tungekua na printing industry nzuri na kodi ziwe rahisi in that sector
hata sisi tungeweza ku-promote culture yetu kama wanavo fanya wazungu, ati?
 
Asante kwa ufafanuzi wako Mzee Mwanakijiji...! otherwise Mwali tungemuweka kikaangoni atoe ufafanuzi kuna nini mpaka yeye awe mtu wa kwanza kupata hicho kitabu...?

Na alinunua hakutaka cha bure! namshukuru mno! Mtu anayependa kusoma anajulikana.
 
Aibu iliyoje mtu anaposhindwa kuficha roho ya kwanini..........................!
'Roho ya kwanini 'kwa lipi hasa? Hebu nenda hukohuko Amazon ukaangalie paperback za best-sellers za globally-recognized authors zinauzwa kwa sh ngapi? kama hujui vitu ni bora ukaendelea kuishi huko huko pangoni ulipo badala ya kuibuka na kudhihirisha utupu wako.
 
Kwa gharama hizo unaweza kupata picha kwa nini reading is a luxury huku.
na ndio maana watu wa nje wanatutawala kwa standards zao sababu
tunazaliwa na kukua tukisoma Cinderella na Snow White, tunaamini
kua mweupe na straight hair ndio alama ya uzuri. (na kuolewa na mzungu)
tungekua na printing industry nzuri na kodi ziwe rahisi in that sector
hata sisi tungeweza ku-promote culture yetu kama wanavo fanya wazungu, ati?

Yaani kwetu huku tunapenda everything cheap! udaku kwa saana,ndo maana hata threads nyingi tu unakuta zimekaa kiudakudaku,no work of a great thinker in them
 
Lol! Hardcore porn unanunua $ ngapi?
Hehehe, don't shoot, I aint coming back here.

Mkjj tutakutana Amazon. Plz write another book of ur short stories na zile poem zako zitusaidie kuibiana wakati wa valentine.
13 dollars for soft porn?...I don't think so
 
Wengine tushazoea haya; na ukiwajali sana watu kama hawa huwezi kufanya lolote lile. Wenyewe wanasema "make your haters be your motivators"!

unafikiri watu wana sababu basi ya kumchukia mtu...
sijajua tatizo lako ni nini hasa? ulitegemea upongezwe na kila mtu? kama anayekukosoa au kupingana na wewe basi ni hater basi wewe ndiye king of haterlandia, angalia jumla ya mipost yako! 26K + na most of them is about bitching and dishing-out criticism to others, lakini unapoguswa wewe una-throw tantrum..lolz
 
aah wapi, kama umenisoma sana utaona wala sina tatizo hilo la kukosolewa; yawezekana hakuna mtu humu ambaye anapata ukosoaji mkubwa kuliko mimi and I take it all with a smile. Msemo niliotumia hapo wala hauna maana mtu ana chuki sana na mimi bali naweka point tu kuwa wapo wengine ambao wanakukosoa kwa sababu hawapendi tu unachofanya. Kama ni kunikosoa tu wala sijawahi kutatizwa na wala siwezi kuanza leo. Ukijisikia kukosoa fanya tu kwa raha zako.

Na utaona hata hizo posts zangu hakuna hata moja ambayo nimemkosoa mtu kwa sababu simpendi au nina chuki naye. NONE. I can give out punches as well as I can get some.
 
ok dude, nafikiri ujumbe umekufikia kuwa kuna pande 3 za shilingi.
 
Back
Top Bottom