Novemba 25: watu8 kazaliwaaaaa Happy Birthday to Meee

thou its too late buddy happy birthday watu8 how old are thee then
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah utantafutaje weekend hii jamani huu muda Yesterday 19:59 nilikuwa bize sana majikumu ya familia.
asante lakuni kwakunikumbuka ericB52 nimekumic sana tu
nivea Weekend ndio0 muda mzuri wa kukumbukana na kutoana stress!
 
Last edited by a moderator:
nivea Weekend ndio0 muda mzuri wa kukumbukana na kutoana stress!
kwa wenzenu sie ndio muda mzuri wakutumika kisawasawa lol Erickb52 wewe siku ile unakula mahari lile jamaa uliona litaniachia pumzi kwa kweli??
mimi weekend nakuaga bize kuliko weekdays nikague nakufua nguo za mume wangu maana namfuliaga mwenyewe.kumpikia special meal ,kufanya usafi chumbani kwangu,kuwa karibu na watoto kujua yote yanayowasibu kusafisha banda la kuku wangu nakuwapa dawa,kuweka mazingira ya nyumba katika hali nzuri ninakuwaga bize sana.hata simu zangu nazikumbuka saa 4usiku.sipatagi hata muda wakuwatembelea majirani.lol majukumu hayo
 
Last edited by a moderator:
thou its too late buddy happy birthday watu8 how old are thee then

hujachelewa mbona, nadhani ungewahi ndio kungekua na mushkeli maana hata kuzaliwa ingalikuwa bado....shukrani sana rafiki, ubarikiwe sanaaaa!!! mie miss wewe sanaaaaa
 
Last edited by a moderator:
kwa wenzenu sie ndio muda mzuri wakutumika kisawasawa lol Erickb52 wewe siku ile unakula mahari lile jamaa uliona litaniachia pumzi kwa kweli??
mimi weekend nakuaga bize kuliko weekdays nikague nakufua nguo za mume wangu maana namfuliaga mwenyewe.kumpikia special meal ,kufanya usafi chumbani kwangu,kuwa karibu na watoto kujua yote yanayowasibu kusafisha banda la kuku wangu nakuwapa dawa,kuweka mazingira ya nyumba katika hali nzuri ninakuwaga bize sana.hata simu zangu nazikumbuka saa 4usiku.sipatagi hata muda wakuwatembelea majirani.lol majukumu hayo
Hahhahaaa nivea wanayaofanya hayo huwa hawafunguki...utashangaa tu wamepotea...we ngoja ukianza hayo majukumu kiukweli km utasema...heheheee
Sa hizi ni kutumika kwa masaa tu lol
 
Last edited by a moderator:
hahhahaaa nivea wanayaofanya hayo huwa hawafunguki...utashangaa tu wamepotea...we ngoja ukianza hayo majukumu kiukweli km utasema...heheheee
sa hizi ni kutumika kwa masaa tu lol
sasa huamini nina majukumu hayo tena mimi huwa ni mkweli sio uongo Erickb52 kama huamini muulize kaka yangu mkubwa HorsePower
 
Last edited by a moderator:
Hahhahaaa nivea wanayaofanya hayo huwa hawafunguki...utashangaa tu wamepotea...we ngoja ukianza hayo majukumu kiukweli km utasema...heheheee
Sa hizi ni kutumika kwa masaa tu lol

Bora useme wewe kiongozi...
 
Last edited by a moderator:
Hongera watu8. Mungu akupe maisha marefu yenye furaha, amani na upendo siku zote,....hope bado kuna kipande cha keki kwenye fridge!
 
Japo nimechelewa sana kuiona hii naomba nikutakie heri ya kuzaliwa
Uwe na maisha marefu yenye amani na furaha na mwenyezi mungu akupe kila la kheri katika maisha yako
Ubarikiwe sana mkuu watu8
Hongera sana na heri ya kuzaliwa mkuu
 
Last edited by a moderator:
Dah nimechelewa tukio but let me be da first 1 to wish u happy birthday ya mwaka ujao!
 
Japo nimechelewa sana kuiona hii naomba nikutakie heri ya kuzaliwa
Uwe na maisha marefu yenye amani na furaha na mwenyezi mungu akupe kila la kheri katika maisha yako
Ubarikiwe sana mkuu watu8
Hongera sana na heri ya kuzaliwa mkuu

shukrani sana mkuu, wala hujachelewa....nawe ubarikiwe sana mkuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom