kwa wenzenu sie ndio muda mzuri wakutumika kisawasawa lol Erickb52 wewe siku ile unakula mahari lile jamaa uliona litaniachia pumzi kwa kweli??nivea Weekend ndio0 muda mzuri wa kukumbukana na kutoana stress!
Hahhahaaa nivea wanayaofanya hayo huwa hawafunguki...utashangaa tu wamepotea...we ngoja ukianza hayo majukumu kiukweli km utasema...heheheeekwa wenzenu sie ndio muda mzuri wakutumika kisawasawa lol Erickb52 wewe siku ile unakula mahari lile jamaa uliona litaniachia pumzi kwa kweli??
mimi weekend nakuaga bize kuliko weekdays nikague nakufua nguo za mume wangu maana namfuliaga mwenyewe.kumpikia special meal ,kufanya usafi chumbani kwangu,kuwa karibu na watoto kujua yote yanayowasibu kusafisha banda la kuku wangu nakuwapa dawa,kuweka mazingira ya nyumba katika hali nzuri ninakuwaga bize sana.hata simu zangu nazikumbuka saa 4usiku.sipatagi hata muda wakuwatembelea majirani.lol majukumu hayo
sasa huamini nina majukumu hayo tena mimi huwa ni mkweli sio uongo Erickb52 kama huamini muulize kaka yangu mkubwa HorsePowerhahhahaaa nivea wanayaofanya hayo huwa hawafunguki...utashangaa tu wamepotea...we ngoja ukianza hayo majukumu kiukweli km utasema...heheheee
sa hizi ni kutumika kwa masaa tu lol
Japo nimechelewa sana kuiona hii naomba nikutakie heri ya kuzaliwa
Uwe na maisha marefu yenye amani na furaha na mwenyezi mungu akupe kila la kheri katika maisha yako
Ubarikiwe sana mkuu watu8
Hongera sana na heri ya kuzaliwa mkuu