Novemba 25: watu8 kazaliwaaaaa Happy Birthday to Meee

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,809
93,466
Wana CC!
naomba mjumuike nami kusheherekea siku niliyozaliwa ambayo ni tarehe kama ya leo, miaka kadhaa iliyopita.
watu8 anawapenda wote!

HII ni GIFT ya COOKIES toka kwa LAAZIZ wangu measkron....
attachment.php
 

Attachments

  • hbd watu8.png
    hbd watu8.png
    221.3 KB · Views: 393
Niwe wa kwanza kukutakia afya njema! Na mafanikio ktk majukumu yako ya kila siku.
Hongera sana.
 
Happy Birthday Shem langu la Ukwenhe watu8.
Naomba nikupe Ofa.
 
Last edited by a moderator:
Watu8! HBD 2U! Mwenyezi Mungu akujaalie afya njema, maisha marefu yenye furaha tele na mafanikio lukuki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom