Novemba 25: watu8 kazaliwaaaaa Happy Birthday to Meee

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,256
2,000
Wana CC!
naomba mjumuike nami kusheherekea siku niliyozaliwa ambayo ni tarehe kama ya leo, miaka kadhaa iliyopita.
watu8 anawapenda wote!

HII ni GIFT ya COOKIES toka kwa LAAZIZ wangu measkron....
happy birthday na uongezewe miaka mingi ya kuzishi!
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,741
2,000
Hahaha, Paw anavyojiamini, ndo driver wangu wa wknd. Atanidrop hapo na kunipick, usisahau tunatumia kadi yake ya kuchanja. Na ana simu ya tochi ina gps, chezeiya Paw. Riraksi, i hope kuna chinese quisine hapo. Dress code ni casual eeh?
mbona jina rahisi sana hilo....
tukutane longitude 26°C E na latitude 02°C NE, hapo najua hata Paw hawezi ng'amua...
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,134
2,000
Hahaha, Paw anavyojiamini, ndo driver wangu wa wknd. Atanidrop hapo na kunipick, usisahau tunatumia kadi yake ya kuchanja. Na ana simu ya tochi ina gps, chezeiya Paw. Riraksi, i hope kuna chinese quisine hapo. Dress code ni casual eeh?
sure hiyo ni chinese lounge....
dress code ni casual kwa sana si wajua leo ni weekend...!!!
utaweza lakini kutumia chop sticks?
 
CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,117
2,000
hey princess, thanks a lot....daddy loves u so much mwaah!!
thnx daddy.... we love u tooo... majukumu tu ndo yamesababisha sisi wanao tuwe mbali. leo kungekuwa hakukaliki hapo home!! but worry out December wakati wa sensa hope tutakuwepo wote hapo home lazima tulipize... mimi na dadazangu sweetlady... WiseLady na kakaetu wa hiyari Davie S.M tunakupenda saaaana na tunakutakia maisha marefu yenye baraka tele uwaone vijukuu.. vitukuu na hata vilembwe!!!!
 
Last edited by a moderator:

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,117
2,000
mummy measkron shikamoo mamangu... pole kwa ubusy... hope unaandaa mapochopocho kwaajili ya siku muhimu sana ya mumeo watu8...

mwambie daddy mkwewe C6 na kijacho pia wanamtakia maisha marefu....
 
Last edited by a moderator:

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
15,968
2,000
af mtani mbona hujanitag jamani au na we nikununie kama best yetu!
NGOJA NIKUTAFTIE ZAWADI!
anza na hii kwanza!
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,134
2,000
mummy measkron shikamoo mamangu... pole kwa ubusy... hope unaandaa mapochopocho kwaajili ya siku muhimu sana ya mumeo watu8...

mwambie daddy mkwewe C6 na kijacho pia wanamtakia maisha marefu....
mmh ngoja nimjibie maana hizo harufu nzuri zinazotoka jikoni huko yummy yummy!!! ....mumy anashukuru sana, mie nipo sebuleni naangalia picha zenu kwa albamu ya picha...
 
Last edited by a moderator:

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,134
2,000
af mtani mbona hujanitag jamani au na we nikununie kama best yetu!
NGOJA NIKUTAFTIE ZAWADI!
anza na hii kwanza!
hahahah mbona nimeku-tag mtani we angalia hapo chini upo sana kwenye tag....
asante sana kwa gift yako nzuri loh...mwaaah
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom