Novels na tamthilia za mapenzi zinachangia kuvunja ndoa!

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
[SUB]kwanini?. Novel na tamthilia nyingi huonyesha wapenzi wakipata shida sana kabla ya ndoa, halafu huishia kuoana na

kuishi raha mustarehe yaani wakioana mwisho wa matatizo! na watu wengi huanza kuamini hivyo. kivumbi wakiingia

kwenye ndoa vitu ni tofauti na walivyo fantasize hapo ndipo migogoro, kutoridhika, kukosa raha na divorce huanza.

uzuri huwa sisomi wala kuangilia hayo masuala! ole wao wayapendao mambo hayo maana siku za ndoa zao zinahesabika.
[/SUB]
 
Zinazo vunjika kwa ajili hio inakua basi nao hio ndoa walikua wakiigiza.
 
Mie ndio zimeniathiri kabisa nimekuwa muumini wa hizi kitu na natafuta patners wa kwenye novel siwapati,
Yaaninadhani ntaishia kuwa alone.
 
Red Giant, Tatizo sio novels, ni setting yenu toka mwanzo! Novel zinaweza kukuongoza na kujua what to expect and sometimes what not to expect! Suala la msingi ni kutochukulia kila kitu kilivyo - context ni muhimu kuzingatiwa!

Nata, don't complain we are together, na hivyo avatar yako imelenga what I was looking for! Ni pm
teh teh .........
 
nakubali kwamba unaweza kuchukua vitu kwa uhalisia wake lakini kwenye saikoloji kuna kitu kinaitwa classical conditioning ambapo mtu anajenga tabia without being conscious na hapo ndio penye tatizo.
 
Hivyo unafikiri ndowa inaletwa na stori? Ndowa ni uamuzi wa mtu ambao mara nyingi hufanywa baada ya kupima mambo mengi. Tena wala usifikiri kuwa ndowa inamea kwenye raha tu bali panapo makubaliano humea pia kwenye shida na kwa maisha yetu yalivyo hizo ndio nyingi.
 
kweli shida ndio nying lakini hayo manovel na matamthilia ya kivenezuela yana tublind tusione hizo shida!
 
Kwenye ndoa unatakiwa kuwa na akili yako ya kuzaliwa ..hizi za kwenye tamthilia utachanganyikiwa tu...
 
novels na tamthilia nyingi huonesha watu wakipendana ila watu kutoka nje wanapanga njama kuwa gombanisha nini

effect ya hii? watu wakiisha oana wanashindwa kusolve matatizo wakiamini kuna watu wa nje wanasababisha kumbe wao

ndio chanzo, wanaanza ooh! fulani katugombanisha wanashindwa kuangalia kwa nini tumeweza kugombanishwa.

wanasahau 'if anything gets wrong your the only one to blame'!.
 
Mie ndio zimeniathiri kabisa nimekuwa muumini wa hizi kitu na natafuta patners wa kwenye novel siwapati,
Yaaninadhani ntaishia kuwa alone.

Never giver up........... jitahidi yuko atakuja tu tulivyo wengi lazma atokee mmoja
 
[SUB]kwanini?. Novel na tamthilia nyingi huonyesha wapenzi wakipata shida sana kabla ya ndoa, halafu huishia kuoana na

kuishi raha mustarehe yaani wakioana mwisho wa matatizo! na watu wengi huanza kuamini hivyo. kivumbi wakiingia

kwenye ndoa vitu ni tofauti na walivyo fantasize hapo ndipo migogoro, kutoridhika, kukosa raha na divorce huanza.

uzuri huwa sisomi wala kuangilia hayo masuala! ole wao wayapendao mambo hayo maana siku za ndoa zao zinahesabika.
[/SUB]

ni wakati muafaka wa kuweka ndoa za za mikataba na za moja kwa moja kwenye katiba kila mtu achague shavu hizi pingu za maisha kwa huku tunakoenda siku hizi ngumu kweli kufika nazo mwisho bora kuwe na option ya mkataba
 
Back
Top Bottom