Novel yangu sasa inapatikana Maduka ya Vitabu Mlimani City, Samora Ave na Quality Center | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Novel yangu sasa inapatikana Maduka ya Vitabu Mlimani City, Samora Ave na Quality Center

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mzee Mwanakijiji, Oct 15, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  NOW AVAILABLE IN MAJOR BOOKSTORES IN DAR: "Majeruhi wa Mapenzi...." Kitabu ambacho kimekuwa ni gumzo kwa wasomaji wa lugha ya Kiswahili... sasa unaweza kukipata maduka ya Scholastic (Mlimani City) pamoja na maduka ya TPH (Samora Avenue na Quality Center): Bei ya reja reja ni 18,000 japo maduka yanaweza kuuza chini ya hapo kidogo.

  Wahi nakala yako sasa!!! Kupata nakala yako maduka ya TPH piga simu: (Samora Avenue inatazamana na iliyokuwa Salamanda Hotel) 0614 115700, 0687 238126. na namba za Quality Centre ni 0767 512545.

  Kupata nakala yako maduka ya Scholastic (Mlimani City) nenda tu pale.

  Kwa wale walioko nje ya nchi bado kitabu kinapatikana kupitia Amazon.com: Online Shopping for Electronics, Apparel, Computers, Books, DVDs & more (kwa Wamarekani) na Ulaya kinapatikana http://www.amazon.eu (chagua nchi ambayo unaweza kutumiwa kutoka). Sehemu nyingine zote kinapatikana kwa Kindle (e-book).

  Riwaya nyingine mpya iko jikoni..... stay tuned

  Na wale ambao tayari mmepata nakala zenu, asante kwa kuendelesha lugha yetu na kuniunga mkono!! Mbarikiwe mpaka mpigwe na butwaa na mseme "duh!! huyu Mungu huyu!!!"
  MMM (Mtunzi)
   
 2. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wow, MMK hizi promotion nadhani zilipaswa kufanywa na publisher... au? anyway asante kwa taarifa, hususan TPH shop. ntaenda kupata nakala yangu pale!
   
 3. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  tutaenda mkuu shukrani
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Publisher ni mimi mwenyewe... lol.. thanks!
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nimeshakiona pale Scholastic, Mlimani City
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Nikienda na 15000 sipati nakara?
   
 7. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  siku zote nimejiaminisha uko ughaibuni ukibeba boksi kwa nguvu...kumbe huwa unapata nafasi ya kuja kututesa nazo bongo...!
   
 8. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ook for sure ntakutafuta. i have a number of publications (books) on sale through various publishers Tz na Kenya. In terms of returns, kwa kweli hakuna kitu cha maana from there! Sijui kama kuna unafuu wowote when you publish it yourself. inawezekana hii fear yangu inanipoteza opportunities za kupata kifuta jasho kutoka kwenye kazi zangu. Ntakutafuta Mzee thru PM ili unipe ushauri zaidi
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280

  hahaha nice.. aisee tuwe tunaambizana basi; hope hukusita kuchukua nakala moja ya maktaba yako..!
   
 10. Ye Soya

  Ye Soya Senior Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duuuh, ngoja nimpigie simu nanihii wangu akiendee nikisome kabla hakijaisha pale mlimani city!
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kesho tunatoa matangazo mapya kwenye magazeti...kwa mwitikio uliopo kuwahi ndio mkakati mzuri.
   
 12. u

  ureni JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Duh hiki kitabu umekitangaza sana kesho ntapitia mlimani city nione kina habari gani ndani
   
 13. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Ili niweze kukikosoa itabidi nipate nakala na kukisoma. So nitachukua nakala yangu soon....
  Well done MMM .
   
 14. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Watanzania tuna allergy ya kusoma vitabu, kwa nini usiangalie uwezekeno wa kuibadili iwe kwa njia ya senema. Unachukua actors wa Bongo movies, Kila nyumba kutakuwa na copy, huwezi amini.
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Tunatarajia kwenda huko; mambo yakikaa vizuri tunaanza kurekodi filamu mapema mwakani... stay tuned.. !!
   
 16. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Achana na mambo ya hadithi hadithi rudi kwenye Siasa eg ukitoa kitabu kinachohusu mauaji ya Zanzibar (Mkapa) Mwanza, Arusha, Morogoro, Iringa na yanayoendelea nafikiri chapu chapu ngawila tosha..then kiasi unaidumbukiza CDM au vipi mzee?
   
 17. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mbona naamini wengi wameshaandika haya; labda nitaandika kimoja ambacho ni non-fiction in the near future
   
Loading...