Noti zetu za mia tano na picha ya nyoka!!!!1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Noti zetu za mia tano na picha ya nyoka!!!!1

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by DASA, Dec 14, 2011.

 1. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kuna Foreigner mmoja ameniuliza leo kwanini noti yetu ya 500Tsh ina picha ya nyoka!! na kwamba ina maanisha nini. Nimeshindwa kumjibu sababu yeye alikuwa anafikiria mambo ya kishetani zaidi. Baadae nimekuja kugundua kwamba hata Noti zote za zamani za 500Tsh zote zina picha ya nyoka. Kuna mtu nilikuja kuongea naye kuhusu hilo akaniambia kuna watu anawafahamu huwa hawakai kabisa na hii noti akiipata atanunua kitu haraka ili asibaki nayo kwa hisia hizo hizo za kimashetani.

  Sasa hebu tuambizane ukweli wa hii kitu. Na kwanini kuna picha ya nyoka, maana ukiangalia vizuri hiyo picha ni kama imelazimishwalazimishwa ikae kwenye hiyo noti.
   
 2. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  usiamini kitu kisichoaminika
   
 3. libent

  libent JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mkuu hiyo ni alama mojawapo ya freemason ukitaka kujua search google freemason signs pia utakuta mwenge nao wanautumia. Kwa kifupi haiwezi kukwepa masonic kwa sababu mwasisi wa hili taifa alikuwa freemason unajua kwa nini alipewa uhuru na malkia elizaberth ambaye ni mkuu wa mafreemason. Nashut down
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  tulikabidhi nchi kwa mavampaya!
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni alama ya utabibu, kuonesha nchi yetu pia inasonga mbele kwenye utafiti na utabibu kuboresha afya. Unakumbuka wana wa Israel pia walipona kwa kuangalia nyoka ya shaba iliyoangikwa msalabani? I guess that is the original idea. Angalia hata muhimbili chuo kikuu, logo yake ina hiyo alama. Shetani hakimbiwi kwa miguu, jipange kiroho ndugu!
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  hivi na imani zingine zinajua hiyo alama ya nyoka ya Musa?

   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  I'm not really sure. Sijajichimbisha sana imani za watu naogopa kuwa chizi. I just lov my bubble,lol(usianze hapa, mambo ya kina maxshimba, FF sijui na xpaster siyawezi mie)
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  nimeipenda hii changamoto..
   
 9. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Noti zote za huko nyuma za mia tano zina huyo nyoka, na hiyo picha inalazimishwa tu kuwepo kwenye hiyo noti,

  Kweli ni vile tu mtu utakavyokuwa unaamini. Lakini ubaya unakuja kwa wale wanaoamini vibaya kwa alama hiyo. Siku hizi kuna baadhi ya rozali zinauzwa hasa maeneo ya makanisa zinakuwa na alama ya nyoka. Makanisani mapadre wamezikataza kuvaa rozali zenye hiyo alama. Kuna mtu ninayemfahamu alipokuwa anaenda kupokea mwili wa bwana kanisani aliambiwa na padri avue haraka rozali yake iliyokuwa na alama ya nyoka ambayo yeye alikuwa hajui.

  Kwahiyo ni kwamba hii alama kuna watu ambao hawaipendi kabisa. Sasa tatizo hapo inapokuwa kwenye noti ambayo tunazitumia kila siku.

  Suala la imani ni sawa. Lakini je vipi watu wa mataifa mengine wanaoamini haya mambo ya mashetani wanapoona hiyo alama kwenye hiyo noti yetu.
   
 10. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Nitaeleza kwa ufupi historia ya nyoka kama ishara ya utabibu.
  Historia hii inaanza katika utawala wa Babeli ambapo miungu ilikuwa inaabudiwa sana. Na katika utawala huo tarakimu 6 ilikuwa inaheshimika sana kwani ilikuwa ni ishara ya utii kwa miungu yao. Angalia hata kitabu cha danieli sura ya tatu, sanamu wa dhahabu aliyetengenezwa ilikuwa na urefu wa dhiraa sitini na upana dhiraa sita. Vipimo vyote vikiwa na namba 6 ndani yake. Pia ili mtu aweze kupiga magoti kuabudu hiyo sanamu ilitakiwa lazima mtu awe amesikia sauti ya vifaa sita ambavyo ni panda, vinubi, filimbi, zeze, santuri na zomari. Sasa baada ya utawala wa Babeli kuondolewa na wamedi na waajemi, makuhani wengi wa miungu ya wababeli walikimbilia katika mji wa PERGAMO ambako waliendeleza huduma zao na ndipo lilijengwa hekalu kubwa sana la kuabudu miungu ya Babeli na katika chumba kimojawapo ndani ya lile hekalu kulitumika kutoa huduma ya utabibu na kwa kuwa shetani siku zote hufanya kitu kinachokaribiana na kile Mungu alichoamuru mf leo hii ubatizo, siku tofauti za ibada dhidi ya ile aliyoamuru Mungu na hii yote ikiwa ni kuwapumbaza watu, makuhani walichukua mfano wa nyoka yule wa jangwani aliyetengenezwa na Musa na ndo maana mpaka leo hii nyoka anatumika kama ishara ya uuguzi lakini si kutokana na nyoka wa Musa bali wa kule katika hekalu la PERGAMO. Na hata ukisoma mambo yanayoelekezwa kwa makanisa katika kitabu cha ufunuo sura ya pili. Ujumbe kwa malaika wa kanisa la kule PERGAMO kuna msitari unasema "napajua ukaapo ndipo penye makazi ya shetani".
   
 11. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hebu elezea 'picha imelazimishwa kuwekwa kwenye note'

  Halafu, hebu mniletee mimi hizo note zote za mia tano, nina shida nazo.
   
 12. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Kwani mbona picha na alama zote za hizi notes walizisema maana yake wakati wanazizindua. Hii ya nyoka walisema inamaanisha mambo ya tiba, na wala si mambo ya kichawi.
   
 13. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hata babu wa samunge alikuwa anatibu kwa jero tu,
   
 14. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Alama ya Nyoka ni alama inayotumika kimataifa kumaanisha masuala ya Tiba. Ndivyo ilivyo kwenye nembo ya Shirika la Afya la Umoja (WHO) na utaikuta katika vituo vya tiba duniani kote. [​IMG]

  Alama za Freemansons zipo nyingi na Hazina nyoka!!!!!!!!!!!!!!
  [​IMG] [​IMG][​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG][​IMG]  Ebu angalia Note hiyo ya USA na ndiyo inahusudiwa duniani kote. Angalia ilivyo na Alama za dhahiri za Freemansons.
  . Ta [​IMG]
   
 15. K

  Karash Member

  #15
  Mar 31, 2016
  Joined: Mar 31, 2016
  Messages: 22
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 5
  Wanachakachua hata pesa?
   
 16. Horseman

  Horseman JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2016
  Joined: Nov 25, 2014
  Messages: 331
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Napenda Sana vichwa kama hivi. Mtu anaongeaa kwa facts sio blah blah tu.

   
 17. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2016
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Angalau wewe umechimba hii ishu vizuri
   
 18. Divine...

  Divine... JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2016
  Joined: May 22, 2015
  Messages: 1,231
  Likes Received: 2,198
  Trophy Points: 280
  Napajua ukaapo; ndipo penye kiti cha enzi cha shetani( shetani huwa anaweka kiti chake hata kanisani atashindwaje kwenye pesa. Asante mchangiaji umenikumbusha somo la viti vya enzi
   
 19. Mpigamiti

  Mpigamiti Member

  #19
  Apr 1, 2016
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 84
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 25
  Uko sahihi mama angu! Hivi unatumia kinywaji gani wkend hii
   
 20. donath pillah

  donath pillah Member

  #20
  Apr 2, 2016
  Joined: Feb 6, 2015
  Messages: 45
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Jua haya yafuatayo
  IMF ni shirika la fedha duniani lakin ni brand ya freemason ukigeuza hilo neno imf utapata ni FMI Freemasons International
  Hivyo Vivyo hata fedha yetu ndio maana wakaweka alama ya nyoka kwenye hela yetu wamefika mbali zaidi wakatuambia tuweke picha ya nyerere kuonesha kuwa hela yetu ni feki au lah
  Judge kwa nn wasiweke ya aman abeid karume wa zanzibar
  Kwa nn wasingeiacha ile ile twiga
  Hizo zote ni plans za mason kaka kwa hiyo hiyo ni kawaida
   
Loading...