Noti za Tshs 10000 na Tshs 2000 zimefanana.

Swat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,199
1,975
Jamani kwenye kutoa na kupokea noti za 10000 na 2000 mara nyingi zinafanana,hasa usiku. Nimepoteza pesa mara kadhaa kwa kwa hilo.Kwa alie ona hilo anaweza kuelezea. BOT wangerekebisha hilo!
 
Huwa unapata moja moto moja baridi wakati wa usiku?.
 
Jamani kwenye kutoa na kupokea noti za 10000 na 2000 mara nyingi zinafanana,hasa usiku. Nimepoteza pesa mara kadhaa kwa kwa hilo.Kwa alie ona hilo anaweza kuelezea. BOT wangerekebisha hilo!

Inaonekana wewe ni KE halafu unauza uroda kwa maelewano ya buku kumi lakini baada ya zoezi chafu unapewa buku mbili hasa mkiwa gizani. ushauri fanyia kwenye taa na sio vichochoroni hutaibiwa tena.
 
Back
Top Bottom