Noti za sh 500 kusafirishwa China

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
Wakuu hii nimeikuta kama mbavyoiona kwenye mtanzania nimepata maswali mengi yasiyo na majibu
1. Ni kosa wageni kuwa na hela zetu
2. Walikuwa wanaenda kufanyia nini?

1459407074780.jpg
1459407093729.jpg
 
Wakuu hii nimeikuta kama mbavyoiona kwenye mtanzania nimepata maswali mengi yasiyo na majibu
1. Ni kosa wageni kuwa na hela zetu
2. Walikuwa wanaenda kufanyia nini?
Kwani hujanunua gazeti?
Umesoma heading pekee?
Wewe ndo unapaswa utueleze kwa undani wengine hatujaliona gazeti leo
 
Wakuu hii nimeikuta kama mbavyoiona kwenye mtanzania nimepata maswali mengi yasiyo na majibu
1. Ni kosa wageni kuwa na hela zetu
2. Walikuwa wanaenda kufanyia nini?
Wachina tena wanaenda kugonga copy
 
Baada ya miaka 10 ijayo wachina waliopo Tz watatosha kuujaza mkoa mzima kwa maana huk kitaa wanagongea hadi FEGI
 
Weeeh acha tu.huko kulikopita reli ya Tazara wako machina wachungaji na masheikh na kina wasichana wakichina wengi saana wanangoja kuolewa.ni wenye maadili mazuri saana
 
Nisingeuliza humu, gazeti lenyewe hakikuekeza zaidi ya kukamatwa na kushtakiwa kwao, huku nimewaletea habari wenye jicho la tatu
1. Kutengeneza nyingine wangechukua ata 10 tu zingetosha
2. Labda kama kuna yale maunga yao ndo wanakwenda kukwangu apo kuna mwanga kudogo
 
Nilikuta mtu anatenganisha pande mbili lakini za buku mbili, ananiambia unaweza safirishia unga kwa kuuweka kati na kurudishia!

Inawezekana.
Kila kitu kinawezekana kwa hawa watu maana ukiangalia wapo katika orodha ya organised crime groups duniani.

Ni wa kuogopwa hawa jamaa
 
Wakuu hii nimeikuta kama mbavyoiona kwenye mtanzania nimepata maswali mengi yasiyo na majibu
1. Ni kosa wageni kuwa na hela zetu
2. Walikuwa wanaenda kufanyia nini?

View attachment 333678 View attachment 333679
walikuwa wanaenda kudublicate kila noti itoe copy zake let say 1000 kila noti moja alafu wanaziingiza katika mzunguko wa hela zetu hapa Tanganyika.Na tayari zipo nyingi tu zinazunguka bila kuwa detected.
 
Nisingeuliza humu, gazeti lenyewe hakikuekeza zaidi ya kukamatwa na kushtakiwa kwao, huku nimewaletea habari wenye jicho la tatu
1. Kutengeneza nyingine wangechukua ata 10 tu zingetosha
2. Labda kama kuna yale maunga yao ndo wanakwenda kukwangu apo kuna mwanga kudogo
wakichukua kumi tu then uwezi kuzitumia vizuri,serial number zitajirudia.embu fikiria noti kumi na noti million 60 zipi raisi kujua kuwa namba zake zinajirudia?
 
Back
Top Bottom