Noti ya Shilingi Mia Tano Kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Noti ya Shilingi Mia Tano Kulikoni?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ndallo, Jun 2, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu kuangalia hela yetu ya Tanzania kwa upande wa noti zote lakini nimebaki na swali moja najiuliza na bado sijapata jibu! kuhusiana na hii noti ya shilingi mia tano ile ya zamani na hii mpya kuna picha ya NYOKA yuko juu ya mti, kwenye noti zote huyu nyoka hayuko lakini kwenye noti hii ya shilingi mia tano yupo je inamaana gani?

  Nakumbuka kuna mtu hapa JF alishatuambia nini maana ya nyoka huyu kuwepo kwenye nembo za mahospitalini lakini kwenye noti hii ya mia tano anahusika vipi kuwepo hapo? Nawasilisha kwa mwenye kujua atufafanulie.

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. O

  Ombeni Charles Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja 2subiri BOT wa2pe majibu.
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Vivutio vya Utalii...
   
 4. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,696
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  Ni yule wa shaba enzi za kina Musa na wana wa Israel jangwani...
   
 5. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Nyoka huyo inaashiria ngoma ya kabila fulani hapa TZ ambayo huwatumia wakati wa kucheza.Ni katika kulienzi kabila hilo!
   
 6. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Sheikh Yahya mwaka 2010 ktk kipindi cha channel10,aliweka wazi mambo ya kutumia wanyama hawa japo twasingizia utali. Yalikuwa maneno ya Yahya ambaye wengi walimuamini. Sijui uhakika ule.
   
 7. Kyalow

  Kyalow JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  kipindi kile noti za zamani zina tangazwa walikuwa wanasema katika noti ya mia tano tume mweka nyoka wetu wa mwandui sikuelewa walikua wana maanisha nini,hizo habari za nyoka wa shaba ni fikra mbovu,ndogo hazina mantiki
   
 8. M

  Mbwajira Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni ishara ya tiba, inatumika duniani kote, angalia hata baadh ya nembo ya mashirika ya UN, kuna nembo ya nyoka.
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Tiba gani KWENYE hela,.........
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Freemasons
   
 11. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Kuna mwanajamvi mmoja alihusisha noti ya 500 na ushirikina moja kwa moja alienda mbali zaidi kwa kumhushisha Babu wa Loliondo na ushirikina kwasababu anachukua tsh 500/= tu.
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  na mi ndo naona ni hivyo hii hela itakuwa na maana hiyo nasikia hata dola moja wanaotoa wageni kwa babu nayo ina nyoka...so mission accomplished
   
 13. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #13
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Mh!.. Mbn huulizi vifaru, majengo, sura za watu??????
   
 14. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Bado sipati picha! Na ni kwanini NYOKA huyu awe kwenye noti ya mia tano tu kuanzia ile noti ya zamani na hii mpya?
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Na kwa nini kuwe na picha tofauti kwenye noti aina moja?
   
 16. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,247
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  Naongezea tu mkuu!ukiangalia kwa back ground centre kuna nkuruma hall,front view right jamaa wamegraduate hapo na front view left nyoka hii inaashiria elimu ya tiba(muhimbili) na nkurumah UDSM na gradutes wote country wide.
   
 17. Shoo Gap

  Shoo Gap JF-Expert Member

  #17
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  MEDICAL MEANING

  A direct representation of ancient traditional treatment of Dracunculus medinensis, the winding worm of death. The worm peeks out of ulcerous blisters to lay eggs, primarily when the wound is placed in water to cool and soothe it. The practitioner would pull the worm out slowly by winding it around a stick.[13]
   
 18. Shoo Gap

  Shoo Gap JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  The traditional technique which involves winding the worm out on a stick has been a treatment used successfully for centuries. This treatment is memorialized in one of the modern symbols of Medicine, the Rod of Asclepius. [9] An alternative method is done by surgically removing the worm. The surgical procedure is only successful if the entire worm is near the surface of the skin. Drugs such as metronidazole may relieve symptoms, but activity against the worm remains questionable.[
   
 19. leseiyo

  leseiyo Senior Member

  #19
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 25, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni upuuzi tu huu.How come nyoka awakilishe tiba?Ni nani hasa anayehusika na kubuni vitu vya kukaa kwenye noti zetu?Kwa nini jukumu hilo lichukuliwe kama la watu fulani tu wanaoamua kila kitu?Machapisho ya noti mpya ni suala la kitaifa ndiyo maana hata bendera tunajua uwakilishi wa rangi zilizopo.Vipi kuhusu noti hizi hatufafanuliwi maana ya vitu vilivyomo?
   
 20. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #20
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  The rod of Asclepius (⚕; sometimes also spelled Asklepios or Aesculapius), also known as the asklepian,[1] is an ancient symbol associated with astrology, the Greek god Asclepius, and with medicine and healing. It consists of a serpent entwined around a staff. The name of the symbol derives from its early and widespread association with Asclepius, the son of Apollo, who was a practitioner of medicine in ancient Greek mythology. His attributes, the snake and the staff, sometimes depicted separately in antiquity, are combined in this symbol.[2] Hippocrates himself was a worshipper of Asclepius.[3].....-http://en.wikipedia.org/wiki/Rod_of_Asclepius
   
Loading...