Noti mpya: kuzuia kugushi, au kuongeza fedha

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Jamani wachumi na wale mlio karibu na taarifa sahihi tujuzeni. Uchaguzi umeisha miezi miwili iliyopita, ccm na serikali walifuja pesa sana. Je, hawajaongeza idadi zaidi ya noti kwenye mzunguko? Je, zoezi zima limegarimu taifa kiasi gani cha fedha? Je, uamuzi wa kuchapa noti mpya hufanywa na nani?
 
Back
Top Bottom