Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Noti mpya!!...hakuna uwezekano wa kuoverprint na kuzichannel ccm/dowans????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyabhingi, Jan 21, 2011.

 1. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,089
  Likes Received: 1,840
  Trophy Points: 280
  nina wasiwasi na hizi noti mpya maana baadhi ya kesi EPA related zilihusu currency overprint ya mabilioni,hivi dowans hawawezi kulipwa kwa mtindo huu halafu JK akatangaza dowans hawalipwi na kuonekana shujaa????
   
 2. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,169
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  sisi jana tulikuwa mahali tunajadili na inaonekana ndivyo itavyokuwa....

  tunaomba vyombo vyetu vya inteligensia kutuletea habari ya movement kama hizo..
   
Loading...