nothing works out in Tanzania.

Zekidon

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,903
568
Yaani useme utakutana na jambo jema ndani ya hii nchi sahau.

Sii watu au vitu lazima vitakusumbua tu, hakuna mtu wala kitu bora Tanzania.

Kama hili ni network la tigo hapa, linasumbua mpaka unatamani kupasua kamchina kangu.

Sijui kwanini tunapenda shida namna hii...
 
Mbona me network ya tigo haijawai nisumbua afu kila siku nasoma malalamiko humu
 
Yaani useme utakutana na jambo jema ndani ya hii nchi sahau.

Sii watu au vitu lazima vitakusumbua tu, hakuna mtu wala kitu bora Tanzania.

Kama hili ni network la tigo hapa, linasumbua mpaka unatamani kupasua kamchina kangu.

Sijui kwanini tunapenda shida namna hii...

Nilichogundua kama hujatoka nje ya nchi hii utaona kila kitu hapa normal lkn ikiwa umetua tu pale jk nyerere int airport ndipo hapoutapoanza soma number,kibaya zaidi nilichokumbana nacho 1.Internet hapa home imefanywa biashara kubwa,ni gharama na haipatikani kwa speed itakiwayo wakati nchini malaysia ni bidhaa inayopatikana kwa wingi,high speed,very cheap na almost free.maana sehemu nyingi za public una surf free..mpango upo mbioni Kuala lumpur yote iwe wifi free zone! 2,jambo la pili ni foleni sehemu uchukue 20 mins unasafiri kwa 2hrs,3 electricity iya uhakika ngawa kidogo wiki hii kama kuna unafuu fulani.Mambo hayo kweli yamenikwamisha sana hapa tz nikahisi nashindwa chochoye!
 
Back
Top Bottom