Nothing is impossible for those who believe

Shayu

Platinum Member
May 24, 2011
608
1,653
Kinachototuua Afrika ni uvivu WA FIKRA sio Uvivu wa mwili. Tatizo letu lipo hapa. Ni wepesi sana wa kuongea kuliko kufikiri . Tunachukulia kila kitu kirahisi rahisi na mara nyingi hatuna maono ya mbali. Tunaona hapa karibu sana. We live only for bread! Kila wakati tumekuwa watu wa kupokea maarifa kuliko kuzalisha maarifa. Let me remind you wale watu wanaozalisha maarifa ndio hutawala mataifa yasiyozalisha maarifa. Kwa mantiki hiyo kama tunatawaliwa ni kwasababu hatuna maarifa, sisi na viongozi wetu. Ngoja nikuulize kwanini tunatawala wanyama wengine?

Ni kwasababu ya uwezo wetu wa kufikiri na hilo liko hivyo hivyo miongoni mwetu wanadamu. Tusipotumia akili zetu vizuri tutatawaliwa. Lazima tuache kuwa MABOGUS. Watu always wanauliza why Afrika maskini? Watu wanazunguka zunguka tu. Tumeshindwa kutumia akili zetu vizuri. Na wale tunawaita wasomi wanafikiri kwa kutumia tumbo. Ukiruhusu mwili hu overpower your mind utafeli tu.

Imagine wakombozi wetu wanataka kuishi maisha ya luxury katikati ya umaskini utakomboaje watu? Unafanya sherehe na kula vinono na kulewa katikati ya vita? Vita ambayo inahitaji nidhamu na kujitolea, tunadhani kwamba tutaondoa umaskini kwa aina ya viongozi tulionao wanaopenda raha kwenye nchi ambayo haijafikia kiwango hicho ?

Huu ni mkwamo kabisa. Viongozi wetu wameishajikatia tamaa wana mdororo. Hawaamini kama tunaweza kuwafikia ulaya, marekani na nchi nyingine kubwa wana mdororo. Vision yao sio hii kabisa wanaamini hatuwezi. Wanarithisha fikra hizi za kipuuzi wananchi wetu pia. Now wanafikiri kiulaya ulaya na wanaamini hawawezi kufanya jitihada kuwafikia. So watu wetu wanakimbilia ulaya na marekani na pengine kukana mataifa yao.

Africans if they do not love their Nations dearly they will not grow! They must come into Africanism. Hawatakuwa kama hawatakuwa na fikra na ideology za kiafrika. Lazima waachane na fikra za kipuuzi za globalism. Globalism is a Lie! It is just Domination of SUPER POWERS. Wazungu wanataka ufikiri kama wao, ufuate tabia zao, ufuate sera zao na culture zao, ufungue mipaka yako ya nchi uruhusu kila kitu kutoka kwao ili iweje ? Ili wakutawale.

Sasa hivi tumeishatawaliwa katika kila nyanja! Miziki yetu imeanza kubadilika, vijana wetu wameanza kubadilika mitizamo yao na uvaaji wao, siasa zetu zimeanza kubadilika. Hii ni HATARI. Wanaingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine let Africans grow as they would like them to grow. Influence of western countries must be stoped by clear defined ideology. Bado naamini hatujashindwa bado tunauwezo wa kunyanyua bendera yetu juu. Kama tutafikiri tumeshindwa sisi na vizazi vyetu tutaendelea kutawaliwa na kudhalilika. Kama tunafikiri tutaendelea kwa ku behave kama wao tunajidanganya.

Taifa hili lazima likue kutoka ndani kwa kujitambua sisi ni kina nani na tunahitaji nini kama taifa. Falsafa ya kugawanya ili utawale bado inatumiwa. Hakuna taifa hata moja la ulaya ambalo lingependa taifa hili watu wake wawe wamoja wenye malengo mamoja. Ni lazima tu wataleta pandikizi au kujaribu kuleta mfumo wa kugawanya watu for SELF INTERESTS. Wanafurahi kuona taifa lisilo kuwa na malengo na la watu ambao sio wamoja ili wawatawale.

Watu wetu watakapoanza kupata akili na kuanza kulitumikia taifa lao na kuacha tabia yao ya kale ya ubinafsi ndipo hapo nuru itakapofunguka na watakapoamua kusimamia ukweli. Hakuna taifa la ulaya linalopenda mataifa yetu ya jitawale yakijitawala ni kuanzisha opposition. Ndio maana MISAADA na MIKOPO haitokoma na wanafanya watu waamini katika misaada na MIKOPO kuliko JUHUDI na MAARIFA. Wanapenda tuwe FOREVER wanyonge. Na hili linawawezesha kuchukua rasilimali zetu kirahisi sana. Utawekeana mkataba gani wa maana na mtu anayekudai au anayekusaidia?

Kama nilivyowahi kusema mwanzo malighafi hazitoweza kutusaidia kuondokana nna umaskini kama taifa hadi hapo tutakapokuwa na uwezo wa kubadilisha malighafi kuwa mali. Watu wetu wakiwa na uwezo huo wakuunda vitu na kuacha kutegemea mataifa ya nje na kujenga uwezo wake wa ndani wa uzalishaji nyota yetu itaanza kung'aa.

Ni lazima tuwe na maono hayo. Na tuache kuaminisha watu wetu hawawezi kukua, hawawezi kufikia mataifa mengine kiuchumi na kitechnologia kwasababu aliaminilo mtu ndilo litakalokuwa. Tukiisha amini hivyo ndio tumekwisha. Tukiisha amini hivyo tutaendelea kuwa maskini na tutatawaliwa milele. NOTHING IS IMPOSSIBLE FOR THOSE WHO BELIEVE. Vitu ambavyo binadamu wengine wameisha vifanya sisi pia tunaweza kuvifanya na zaidi. Wao ni binadamu kama sisi. WE MUST HAVE FAITH.
 
Kinachototuua Afrika ni uvivu WA FIKRA sio Uvivu wa mwili. Tatizo letu lipo hapa. Ni wepesi sana wa kuongea kuliko kufikiri . Tunachukulia kila kitu kirahisi rahisi na mara nyingi hatuna maono ya mbali. Tunaona hapa karibu sana. We live only for bread! Kila wakati tumekuwa watu wa kupokea maarifa kuliko kuzalisha maarifa. Let me remind you wale watu wanaozalisha maarifa ndio hutawala mataifa yasiyozalisha maarifa. Kwa mantiki hiyo kama tunatawaliwa ni kwasababu hatuna maarifa, sisi na viongozi wetu. Ngoja nikuulize kwanini tunatawala wanyama wengine ? Ni kwasababu ya uwezo wetu wa kufikiri na hilo liko hivyo hivyo miongoni mwetu wanadamu. Tusipotumia akili zetu vizuri tutatawaliwa. Lazima tuache kuwa MABOGUS. Watu always wanauliza why Afrika maskini? Watu wanazunguka zunguka tu. Tumeshindwa kutumia akili zetu vizuri. Na wale tunawaita wasomi wanafikiri kwa kutumia tumbo. Ukiruhusu mwili hu overpower your mind utafeli tu.

Imagine wakombozi wetu wanataka kuishi maisha ya luxury katikati ya umaskini utakomboaje watu? Unafanya sherehe na kula vinono na kulewa katikati ya vita? Vita ambayo inahitaji nidhamu na kujitolea, tunadhani kwamba tutaondoa umaskini kwa aina ya viongozi tulionao wanaopenda raha kwenye nchi ambayo haijafikia kiwango hicho ?

Huu ni mkwamo kabisa. Viongozi wetu wameishajikatia tamaa wana mdororo. Hawaamini kama tunaweza kuwafikia ulaya, marekani na nchi nyingine kubwa wana mdororo. Vision yao sio hii kabisa wanaamini hatuwezi. Wanarithisha fikra hizi za kipuuzi wananchi wetu pia. Now wanafikiri kiulaya ulaya na wanaamini hawawezi kufanya jitihada kuwafikia. So watu wetu wanakimbilia ulaya na marekani na pengine kukana mataifa yao.

Africans if they do not love their Nations dearly they will not grow! They must come into Africanism. Hawatakuwa kama hawatakuwa na fikra na ideology za kiafrika. Lazima waachane na fikra za kipuuzi za globalism. Globalism is a Lie! It is just Domination of SUPER POWERS. Wazungu wanataka ufikiri kama wao, ufuate tabia zao, ufuate sera zao na culture zao, ufungue mipaka yako ya nchi uruhusu kila kitu kutoka kwao ili iweje ? Ili wakutawale. Sasa hivi tumeishatawaliwa katika kila nyanja! Miziki yetu imeanza kubadilika, vijana wetu wameanza kubadilika mitizamo yao na uvaaji wao, siasa zetu zimeanza kubadilika. Hii ni HATARI. Wanaingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine let Africans grow as they would like them to grow. Influence of western countries must be stoped by clear defined ideology. Bado naamini hatujashindwa bado tunauwezo wa kunyanyua bendera yetu juu. Kama tutafikiri tumeshindwa sisi na vizazi vyetu tutaendelea kutawaliwa na kudhalilika. Kama tunafikiri tutaendelea kwa ku behave kama wao tunajidanganya.

Taifa hili lazima likue kutoka ndani kwa kujitambua sisi ni kina nani na tunahitaji nini kama taifa. Falsafa ya kugawanya ili utawale bado inatumiwa. Hakuna taifa hata moja la ulaya ambalo lingependa taifa hili watu wake wawe wamoja wenye malengo mamoja. Ni lazima tu wataleta pandikizi au kujaribu kuleta mfumo wa kugawanya watu for SELF INTERESTS. Wanafurahi kuona taifa lisilo kuwa na malengo na la watu ambao sio wamoja ili wawatawale. Watu wetu watakapoanza kupata akili na kuanza kulitumikia taifa lao na kuacha tabia yao ya kale ya ubinafsi ndipo hapo nuru itakapofunguka na watakapoamua kusimamia ukweli. Hakuna taifa la ulaya linalopenda mataifa yetu ya jitawale yakijitawala ni kuanzisha opposition. Ndio maana MISAADA na MIKOPO haitokoma na wanafanya watu waamini katika misaada na MIKOPO kuliko JUHUDI na MAARIFA. Wanapenda tuwe FOREVER wanyonge. Na hili linawawezesha kuchukua rasilimali zetu kirahisi sana. Utawekeana mkataba gani wa maana na mtu anayekudai au anayekusaidia ?

Kama nilivyowahi kusema mwanzo malighafi hazitoweza kutusaidia kuondokana nna umaskini kama taifa hadi hapo tutakapokuwa na uwezo wa kubadilisha malighafi kuwa mali. Watu wetu wakiwa na uwezo huo wakuunda vitu na kuacha kutegemea mataifa ya nje na kujenga uwezo wake wa ndani wa uzalishaji nyota yetu itaanza kung'aa. Ni lazima tuwe na maono hayo. Na tuache kuaminisha watu wetu hawawezi kukua, hawawezi kufikia mataifa mengine kiuchumi na kitechnologia kwasababu aliaminilo mtu ndilo litakalokuwa. Tukiisha amini hivyo ndio tumekwisha. Tukiisha amini hivyo tutaendelea kuwa maskini na tutatawaliwa milele. NOTHING IS IMPOSSIBLE FOR THOSE WHO BELIEVE. Vitu ambavyo binadamu wengine wameisha vifanya sisi pia tunaweza kuvifanya na zaidi. Wao ni binadamu kama sisi. WE MUST HAVE FAITH.
Follow me on twitter
Shayu@peculiar09
For more.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom