Nothing heals like true love

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Kwa wale wenye mapenzi ya ukweli na ukiwa na mpenzio cheki ( angalia you tube song by heather nova mwimbo unaitwa " london rain" .American version Kama haujisikii mbinguni na mpenzi wako wewe basi tafuta mpenzi mwingine.
 
Hahahahahahahahahahahahahah
Mtoto ya New york umetisha! Yani unamliza mzungu wako, je ni machozi ya furaha au huzuni?

Safi kumbe na wewe una kipaji!
Basi christmas ntakutumia zawadi nzuri!

Namuimbiaga mume wangu analiaga
 
Namuimbiaga mume wangu analiaga

mwimbie mwaya !sipati icha the Doc HIMSELF!akilia na trei lake la chai mkononi! mwaJ ndo mana shem wangu dznt shoer yyu with mijihela ya kuchopchop
na kwa mtindo huu natalia amampiga sana bao King'asti na Kongosho maana sidhani hata kuimba wimbo wowote wanajua!
mi naomba unifundishe kuimba huu wimbo mwaya manake kila siku nilikuwa najiuliza inakuwaaaaaje unafanyiwa yote hayo,loooooh sa si ungetuambia mapema wenzio na sisi!
 
Last edited by a moderator:

Umeusikiliza mwimbo huo.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahahahahah
Mtoto ya New york umetisha! Yani unamliza mzungu wako, je ni machozi ya furaha au huzuni?

Safi kumbe na wewe una kipaji!
Basi christmas ntakutumia zawadi nzuri!
Please sikiliza mziki huo .Especially pale wanaposema nothing heals like you do "
Saa zingine nacheza sindimba anachanganyikiwa
 
hahahahahahahahahahaha
sipati picha we ukicheza sindimba mtoto ya fisadi!

Umetishaaaa!
 
Wewe sredi zako zote ni mapenzi inaonesha ni muathirika wa mapenzi...

I'm in love with my hubby.You sound like a racist kwamba mwafrika ni mwanaume peke yake .kaka jifunze kuexpress your feelings usiogope achana na vimada
 
mwimbie mwaya !sipati icha the Doc HIMSELF!akilia na trei lake la chai mkononi! mwaJ ndo mana shem wangu dznt shoer yyu with mijihela ya kuchopchop
na kwa mtindo huu natalia amampiga sana bao King'asti na Kongosho maana sidhani hata kuimba wimbo wowote wanajua!
mi naomba unifundishe kuimba huu wimbo mwaya manake kila siku nilikuwa najiuliza inakuwaaaaaje unafanyiwa yote hayo,loooooh sa si ungetuambia mapema wenzio na sisi!

Ha ha haa haaaaaaa! snowhite na Natalia! Sikuwezi! Mtoto wa NY shurti kumliza mzungu! Shem wako macho makavu hata niimbe nini! Lol!
 
Last edited by a moderator:
Rafiki FP come this way please!!!...there is something special just for you rafiki lol!

Kwa wale wenye mapenzi ya ukweli na ukiwa na mpenzio cheki ( angalia you tube song by heather nova mwimbo unaitwa " london rain" .American version Kama haujisikii mbinguni na mpenzi wako wewe basi tafuta mpenzi mwingine.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom