Namuimbiaga mume wangu analiaga
Namuimbiaga mume wangu analiaga
Namuimbiaga mume wangu analiaga
mwimbie mwaya !sipati icha the Doc HIMSELF!akilia na trei lake la chai mkononi! mwaJ ndo mana shem wangu dznt shoer yyu with mijihela ya kuchopchop
na kwa mtindo huu natalia amampiga sana bao King'asti na Kongosho maana sidhani hata kuimba wimbo wowote wanajua!
mi naomba unifundishe kuimba huu wimbo mwaya manake kila siku nilikuwa najiuliza inakuwaaaaaje unafanyiwa yote hayo,loooooh sa si ungetuambia mapema wenzio na sisi!
Nothing heals like he doNilifikiri huwa unamtoaga hela tu kwa jinsi ninavyozisoma post zako, kumbe hata kwenye kutoa huduma uko vzr?!, Hongera!
True love is a myth,
Please sikiliza mziki huo .Especially pale wanaposema nothing heals like you do "Hahahahahahahahahahahahahah
Mtoto ya New york umetisha! Yani unamliza mzungu wako, je ni machozi ya furaha au huzuni?
Safi kumbe na wewe una kipaji!
Basi christmas ntakutumia zawadi nzuri!
Kaa kimya sikiliza huu mwimbo.
Please sikiliza mziki huo .Especially pale wanaposema nothing heals like you do "
Saa zingine nacheza sindimba anachanganyikiwa
Wewe sredi zako zote ni mapenzi inaonesha ni muathirika wa mapenzi...
Natalia we ulali au huko New york ni Mchana sasa hivi?
mwimbie mwaya !sipati icha the Doc HIMSELF!akilia na trei lake la chai mkononi! mwaJ ndo mana shem wangu dznt shoer yyu with mijihela ya kuchopchop
na kwa mtindo huu natalia amampiga sana bao King'asti na Kongosho maana sidhani hata kuimba wimbo wowote wanajua!
mi naomba unifundishe kuimba huu wimbo mwaya manake kila siku nilikuwa najiuliza inakuwaaaaaje unafanyiwa yote hayo,loooooh sa si ungetuambia mapema wenzio na sisi!
Kwa wale wenye mapenzi ya ukweli na ukiwa na mpenzio cheki ( angalia you tube song by heather nova mwimbo unaitwa " london rain" .American version Kama haujisikii mbinguni na mpenzi wako wewe basi tafuta mpenzi mwingine.
Saa 3 asubuhi ct .nipo store wanangu wana shop ninachezea simu.nimekuwa wa kwanza kuingia sales kibao