Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,839
mnh, jamani?
Kwenye haya maisha ya 'Baba & Mama' (Ndoa) kuna wengine wanatushauri kuwa wakweli, ati "only the truth will sets us free!", kuna wengine wanatuonya, "kinywa huponza kichwa!"
Je, nini mtazamo wako juu ya hili?
Unaamini kusema 100% ukweli wa kila kitu kwa mke/mume ni sahihi?
au,
unadhani ni heri ujibakizie % fulani 'kwa matumizi ya dharura?'
Mwenzenu kila nikijifikiria kwa hii 5th amendment, mnh!
- "You have the right to remain silent, Anything you say can and will be used against you!..." -