Note 8 inazubaa internet

Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,957
3,301
Samsung sijui wanakwama wap. Mi huwa natumia hii brand tu. Lakin kwanini upande wa internet huwa hairespond haraka had kuzidiwa na tecno wakat ina ram kubwa? Browser natumia samsung. Kwa sasa nina note 8 lakin hata kuuliza salio inazubaa tu.

Internet nayo haitembei kwa wakat. Niko voda. Dar. Sijaweka apps nying na memory nimetumia 20% tu. Anayejua namna ikuwe fast anisaidie. Kila kitu inarespond kwa kujifikiria sana.
 
Samsung sijui wanakwama wap. Mi huwa natumia hii brand tu. Lakin kwanini upande wa internet huwa hairespond haraka had kuzidiwa na tecno wakat ina ram kubwa? Browser natumia samsung. Kwa sasa nina note 8 lakin hata kuuliza salio inazubaa tu. Internet nayo haitembei kwa wakat. Niko voda. Dar. Sijaweka apps nying na memory nimetumia 20% tu. Anayejua namna ikuwe fast anisaidie. Kila kitu inarespond kwa kujifikiria sana.
Inawezekana una model ambayo haina band zote za hapa bongo. Kama ni model ya US au Korea au Hong Kong. Kma ulinunua refurbished pia hyo inaweza kuwa sababu moja wapo. Epuka sana refurbished za Samsung huwa zinawekwa custom software zenye hayo matatzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung sijui wanakwama wap. Mi huwa natumia hii brand tu. Lakin kwanini upande wa internet huwa hairespond haraka had kuzidiwa na tecno wakat ina ram kubwa? Browser natumia samsung. Kwa sasa nina note 8 lakin hata kuuliza salio inazubaa tu. Internet nayo haitembei kwa wakat. Niko voda. Dar. Sijaweka apps nying na memory nimetumia 20% tu. Anayejua namna ikuwe fast anisaidie. Kila kitu inarespond kwa kujifikiria sana.
Ulinunua global version kweli? Au uliorder for samsung note A basi bila kuangalia mchanganuo wake
 
Inawezekana una model ambayo haina band zote za hapa bongo. Kma ni model ya US au Korea au Hong Kong. Kma ulinunua refurbished pia hyo inaweza kuwa sababu moja wapo. Epuka sana refurbished za Samsung huwa zinawekwa custom software zenye hayo matatzo

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana una model ambayo haina band zote za hapa bongo. Kma ni model ya US au Korea au Hong Kong. Kma ulinunua refurbished pia hyo inaweza kuwa sababu moja wapo. Epuka sana refurbished za Samsung huwa zinawekwa custom software zenye hayo matatzo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi si mjuvi ya haya mambo lakin nionacho ni kuwa sim inazubaa sana. Hivi naweza kukutumia screenshort ya nin ili uweke maarifa yako kung'amua lolote?
 
Attachments

  • Screenshot_20210208-145453_Settings.jpg
    Screenshot_20210208-145453_Settings.jpg
    69.6 KB · Views: 16
  • Screenshot_20210208-145504_Settings.jpg
    Screenshot_20210208-145504_Settings.jpg
    83 KB · Views: 16
Hyo ni model ya USA aisee. SM-N950U na CSC code yake ni XAA. Haina major bands za huku bongo, na kuna sehemu ukienda network inakua inapotea kabisa.

Ulitakiwa uwe na International model (SM-N950FD) au Europe model (SM-N950F), hzi ndio zinashika band zote za bongo. Mkienda kununua Samsung refurbished muwe mna hakikisha kwenye model number mwsho ni FD au F ndio hazina shida ya network huku bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba ushaur wako tafadhar kurekebishiwa. Haya mambo wengine si eneo letu.
Hyo ni model ya USA aisee. SM-N950U na CSC code yake ni XAA. Haina major bands za huku bongo, na kuna sehemu ukienda network inakua inapotea kabisa.

Ulitakiwa uwe na International model (SM-N950FD) au Europe model (SM-N950F), hzi ndio zinashika band zote za bongo. Mkienda kununua Samsung refurbished muwe mna hakikisha kwenye model number mwsho ni FD au F ndio hazina shida ya network huku bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba ushaur ushaur wako tafadhar kurekebishiwa. Haya mambo wengine si enwo letu.
Band hizo huwezi badilisha hapo. Sababu zipo kwenye baseband firmware ambayo ipo linked na firmware nzima ya simu. Kwa samsung hzo haiwezekani kabisa kwasababu hata processor zinatofautiana kwahyo huwezi pachika tu firmware ya international kwenye model ya US. Hyo model yako ya US inatumia processor za Qualcomm na International model inatumia Exynos CPU.

Kma ndio umenunua hapa karibuni irudishe tu ulipoinunua. Solution ya haraka ni kutumia smart kitochi kama hotspot ili uweze ingia net vizuri na upate calls zako na message kwenye hcho smart kitochi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu maana inanipa shida kweli nikiwa maeneo mengine watu wengine wanapata network mimi sipati na nikiingia ndani tuu inakata network

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom