Msaada: Note 5 ina tatizo la network

lau_23

Member
Nov 11, 2011
44
24
Za kutwa.
Nina shida moja..sim yangu note 5 ina tatzo la network. Yan line inaonekana inasoma bt functions za sim hazikubal(like message.kucall etc).nishapeleka kwa mafund na vodacom bt wamechemka
Screenshot_20170919-220721.png
Screenshot_20170919-220708.png
Screenshot_20170919-220613.png
 
Kwenye network name kuna kipi kati ya haya... EMERGENCY CALL? au NO SERVICES?... Imei number za cmu yako zitume to 15090.. Kwenye dialer fanya hvi, *#0011# halafu ulete majibu kamili au hata images
 
Inaandika (searching)
 
Kwenye network name kuna kipi kati ya haya... EMERGENCY CALL? au NO SERVICES?... Imei number za cmu yako zitume to 15090.. Kwenye dialer fanya hvi, *#0011# halafu ulete majibu kamili au hata images
Screenshot_20170919-222858.png
 
Fungua setings kisha tafuta mobile networks halafu tafuta network mode kisha weka gsm only halafu search network manually
 
Kwenye network name kuna kipi kati ya haya... EMERGENCY CALL? au NO SERVICES?... Imei number za cmu yako zitume to 15090.. Kwenye dialer fanya hvi, *#0011# halafu ulete majibu kamili au hata images
Screenshot_20170919-223952.jpg
 
Kwa note 5 nnavyozijua inaweza isiwe hardware i.aweza ukawa software ndio shidahh hasa ikiwa sio international version
 
Back
Top Bottom