Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,904
Wakuu habari za wakati huu.
Nina sim yangu samsung note 3 imegoma kusoma mtandao toka asubuhi. Mtandao wa internet hauna shida inasoma kama kawaida ila sipigi wala kupokea sim.
Kila nikipiga naambiwa not registered in network. Nimejaribu kubadilisha line lakini zote naambiwa sijasajiliwa kwenye network. Inasoma mtandao na huduma za internet ziko poa ishu ni voice calls.
Imekuaje au nifanyeje?. Msasda wenu wakuu.