hahaaa kazi wanayo CCM...nasiki znz mkapa na mwinyi wako huko wanajaribu kuchakachua.....Bwawani watu lundo na kuna harufu ya vurugu maana wanasema hawatakubali...hahaaaa CCM bye bye..Sawa sawaaaaaa
Naomba usiwe na wasiwasi, bali uwe na uhakika kwamba, TBC ipo kwa ajili ya CCM na propaganda zake. Na tukiingia tu madarakani tunaanza na TIDO, hakika hatutamuacha. Asidhani aliyotutendea tumeyasahau, tunayakumbuka yote.Mkuu Pasco, naangalia tbc1 lakini wakati mtangazaji anajaribu kumuuliza msimamizi msaidizi-Ubungo kujibu hoja ya Mh. Mnyika kuchelewesha matokeo lakini ghafla wakaondoa kabla hajajibu swali hilo na kuonyesha mambo mengine.
MyTake:
Nina wasisima na Credibility ya TBC1 kwa maslahi ya TZ