Elections 2010 [NOT OFFICIAL]: JJ Mnyika: Tumeshinda kwa zaidi ya kura 20,000

JJ. MNYIKA anasema hawajalala usiku kucha, wameshajumlisha matokeo kwa compyuta zao wanaongoza kwa kura zaidi ya 20,000!.

Mnyika kakatizwa, wamerudi studio!, ila kama ni kweli, hongera sana JJ Mnyika.
Pasco
 
Matoke ya mbali yameshapatikana na kutangazwa, ya ubungo wanamsubiri msimamizi kaenda kunywa chai tangu asubuhi!.
Wafuasi wa Chadema wameizingira ofisi ya msimamizi.
 
Angalieni TBC

Inasikitisha majimbo ya mjini kama Dar matokeo wanasema wameshindwa kutangaza kwa sababu ya tekonolojia.

Pale eneo la kutangazia matokeo Loyola, eti watendaji wa NEC wameenda kunywa chai. uwiiiii..wananchi waliopiga kura wanasubiri kupatiwa matokeo. Tume imekuwa na kigugumizi kizito hata kule Kagera na Lindi ambapo eneo la kijiografia lipo shwari. ...Hii ndio CCM, haipo tayari kwa mabadiliko hata yale ambayo yanaonekana wazi.
 
JJ. MNYIKA anasema hawajalala usiku kucha, wameshajumlisha matokeo kwa compyuta zao wanaongoza kwa kura zaidi ya 20,000!.

Mnyika kakatizwa, wamerudi studio!

Samahani, wengine hatuna access na TBC sasa hivi. Je, kuongoza huku ni kwa Dr. Slaa au kwa Mnyika? PLS explain
 
Mkuu Pasco, naangalia tbc1 lakini wakati mtangazaji anajaribu kumuuliza msimamizi msaidizi-Ubungo kujibu hoja ya Mh. Mnyika kuchelewesha matokeo lakini ghafla wakaondoa kabla hajajibu swali hilo na kuonyesha mambo mengine.
MyTake:
Nina wasisima na Credibility ya TBC1 kwa maslahi ya TZ

Angalieni TBC
 
Ha ha ha ha huko kwa kijana wangu Mnyika hata walale wakichakachua hawataweza, huyo Hawa katupwa mno mbali. Hata huko Arusha sijui wanasubiri EDO afanye kitu gani wakati Batilda katupwa mbali. Hivi huko Arusha kwa nini msipasue hilo gari la EDO. Yuko hapa sasa hivi wanajadili. Kwa hilo ni jimbo kake? Kafuata nini huko mapema hii. Fisadi mkubwa wewe.
 
Unajua nina rafiki yangu mkenya kila tukikutana ananizodoa ohoo mitanzania ni mijinga sana mnaongozwa na chama kimoja leo nimemtwangia simu nikamweleza hali ya mambo akabaki na mshangao.
 
Mkuu Pasco, naangalia tbc1 lakini wakati mtangazaji anajaribu kumuuliza msimamizi msaidizi-Ubungo kujibu hoja ya Mh. Mnyika kuchelewesha matokeo lakini ghafla wakaondoa kabla hajajibu swali hilo na kuonyesha mambo mengine.
MyTake:
Nina wasisima na Credibility ya TBC1 kwa maslahi ya TZ

Mkuu wa kaya keshanusa hatari!! Kwa hiyo mbinu ya Z'bar 1995 inatumika!!!:doh:
 
Inasikitisha majimbo ya mjini kama Dar matokeo wanasema wameshindwa kutangaza kwa sababu ya tekonolojia.

Pale eneo la kutangazia matokeo Loyola, eti watendaji wa NEC wameenda kunywa chai. uwiiiii..wananchi waliopiga kura wanasubiri kupatiwa matokeo. Tume imekuwa na kigugumizi kizito hata kule Kagera na Lindi ambapo eneo la kijiografia lipo shwari. ...Hii ndio CCM, haipo tayari kwa mabadiliko hata yale ambayo yanaonekana wazi.

Wanywe chai mpaka kesho lakini lazima ushindi watangaze. Yani machozi ya furaha yanitoka!!!!
 
Mgombea J. Mnyika na wadau wa CHADEMA, wamepiga kambi kwenye shule ya Layola - ambapo wanasubiri matokeo ya jimbo la Ubungo yatangazwe.
Msemaji anasema... matokeo hayana budi kuwa uploaded kwenda kwenye Tume taifa kabla ya kutangazwa. Wanaomba uvumilivu.
 
Back
Top Bottom