Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,434
- 113,444
Angalieni TBC
Angalieni TBC
JJ. MNYIKA anasema hawajalala usiku kucha, wameshajumlisha matokeo kwa compyuta zao wanaongoza kwa kura zaidi ya 20,000!.
Mnyika kakatizwa, wamerudi studio!
Angalieni TBC
Mkuu Pasco, naangalia tbc1 lakini wakati mtangazaji anajaribu kumuuliza msimamizi msaidizi-Ubungo kujibu hoja ya Mh. Mnyika kuchelewesha matokeo lakini ghafla wakaondoa kabla hajajibu swali hilo na kuonyesha mambo mengine.
MyTake:
Nina wasisima na Credibility ya TBC1 kwa maslahi ya TZ
Inasikitisha majimbo ya mjini kama Dar matokeo wanasema wameshindwa kutangaza kwa sababu ya tekonolojia.
Pale eneo la kutangazia matokeo Loyola, eti watendaji wa NEC wameenda kunywa chai. uwiiiii..wananchi waliopiga kura wanasubiri kupatiwa matokeo. Tume imekuwa na kigugumizi kizito hata kule Kagera na Lindi ambapo eneo la kijiografia lipo shwari. ...Hii ndio CCM, haipo tayari kwa mabadiliko hata yale ambayo yanaonekana wazi.