"The government of Norway controls key areas such as the vital petroleum sector, through extensive regulation and large-scale state-majority-owned enterprises"
Kwa hili hapa pia, lazima tufanye kitu! Si kusubiri ka-jimgawo!
Ungejua historia ya Norwegian petrolium development strategies ungeelewa wanchokisema.....Hao watu wamepitia magumu mengi mpaka ku vuna mafuta huko North sea....Watu wao wameteseka na mara kadhaa visima vyao vya majaribio kuungua moto; wafanyakazi kufa na wengine kupoteza viungo vyao na kuwa vilema..uzalendo wa hali ya juu..Leo hii Stavanger mji ambapo petrolium inakuwa exploited ni mji mzuri uliochangamka na uchumi wa Norway nzima kuwa imara si matokeo ya ubinafsi na ufisadi tunao ushadadia sisi raia wa Tanzania...
Kama kuna nchi nitakayo ire-commend kwenye biletaral agreements kwenye sector ya natural resources ni Norway..maana wamei support sana hiyo sector kwa muda mrefu hata kutoa technical assistance kwa human resources zetu. Kumbuka senior officials karibu wote kwenye mali asili wamekuwa trained kule na program zao zilisukwa mahususi kuisaida Tanzania. Kama individuals hawa reflect what has been deposited or imparted to them ni swala la ki-mfumo na selfishness lakini si ujuzi wala uzoefu..Maana walitu-expose mno katika hiyo industry yao ili tujue how they went about and how also we can go about if we want to reflect Norways status of richness katika Africa.