Norway yamwaga mabilioni Tanzania kupitia TradeMark East Africa, one UN

Wanabodi,


Niko Ubalozi wa Norway hapa jijini Dar es Salaam, ambapo serikali ya Norway, imemwaga mamilioni ya dola za Kimarekani, ambazo ni mabilioni ya shilingi za Kitanzanzania, kufadhili miradi mbalimbali ya maendeleo, kupitia TradeMark East Africa na One Un, katika kuthibitisha ni kwa kiasi gani, nchi wafadhili, zimeridhishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 inayoongozwa na rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Niko hapa kukuripotia live tukio hili, hivyo kukufanya wewe mwana JF to be the first to know, View attachment 645308 View attachment 645309 View attachment 645310 View attachment 645311 View attachment 645312 View attachment 645313 View attachment 645315 View attachment 645318 View attachment 645319 wengine wataipata taarifa hii kwenye taarifa za habari za usiku na magazeti ya kesho.

Mkataba wa kwanza ni Norway, wametoa msaada wa shilingi bilioni 22.5 kusaidia shughuli za UN kwenye mambo ya wakimbizi wa mkoa wa Kigoma.

Mkataba huu, umesainiwa na Balozi wa Norway nchini H.E Hanne-Marie Kaarstad na UN Resident Coordinator na UNDP Resident Rep, Alvaro Rodriguez
Ukumbi umelipuka kwa kicheko baada ya UN Resident Rep, Rodriguez kutamka kwa Kiswahili fasaha kibwagizwo cha Dr. Shika cha Sii "itapendeza".

Mkataba wa pili ni msaada wa dola milioni 6 za Kimarekani, sawa na bilioni Zaidi ya 13 za Tanzania, ambao umetiwa saini na Balozi wa Norway nchini H.E Hanne-Marie Kaarstad na Mwenyekiti wa TradeMark East Africa, Balozi Ali Mfuruki na kushuhudiwa na Mkurugenzi wa TradeMark East Africa Tawi la Tanzania, Bw. John Ulanga.

Asante kufuatilia.

Paskali.

PRESS RELEASE

NORWAY GRANTS 50 MILLION NOWEGIAN KRONER TO TRADEMARK EAST AFRICA TO FACILITATE TRADE FACILITATION, GROW JOBS AND REDUCE POVERTY IN TANZANIA

Dar es Salaam
– December6th, 2017 – Norway on WednesdayDecember 6th granted 50 million Norwegian Kroners (equivalent to 13.4 billion Tanzanian shillings) to TradeMark East Africa (TMEA) to support its work in enhancing trade across the East African Community toincrease prosperity in the region.

The agreement was signed by theNorwegian Ambassador to Tanzania, Her Excellency Hanne-Marie Kaarstad and Ali Mufuruki, Board Chair of TradeMark East Africa. Witnessing the signing was the Head of Cooperation at the Norwegian Embassy, Trygve Bendiksby and John Ulanga, Country Director, TMEA Tanzania.

Norway’s strategy for development cooperation and action plan for aid for trade put more emphasis on the development of trade and regional economic integration. The Norwegian government believes that supporting increased trade in the region in combination with assistance to the private sector will accelerate economic growth and jobs, with the ultimate goal of poverty reduction.

Norwegian Ambassador to Tanzania, HE Hanne-Marie Kaarstad said:“Trademark East Africa is a new partner of the Norwegian Embassy. Over the last six years, the Embassy has watched with great interest as Trademark East Africa has carried out its important and challenging work. With ambitious goals and large programmes in six East African countries, Trademark East Africa has taken on the task of breaking down barriers to trade in the region. The results that Trademark East Africa have delivered so far are impressive. We look forward to be an active partner.

TradeMark East Africa is making a huge difference to reducing the high barriers to trade in East Africa. Since starting its operations in Tanzania in the year 2011, TMEA has supported partners such as Tanzania Ports Authority, Tanzania Revenue Authority, Tanzania Food and Drugs Authority and Tanzania Bureau of Standards to improve their capacity and efficiency in facilitating trade. After the work done by TMEA and its partners to reduce infrastructure barriers, border delays and reducing red tape, we have witnessed an increase in efficiency by at least 50 percent. In an era of doubts about the value for money of aid, TMEA stands out as a programme that has delivered real impact for real businesses and people. TMEA has made this happen by focusing on addressing bottlenecks and automating trade processes.

TMEA which is embarking on its new strategy covering the period 2017-2023. Strategy 2 offers large-scale transformative impact, building on gains made to date but recognising the substantial potential gains that can still be made. This Strategy will contribute to an impact of US$0.6 billion of additional trade in East Africa. This will, in turn, contribute to sustainable, inclusive prosperity by adding US$4.7 billion to the region’s GDP, creating and sustaining more than 0.7 million additional jobs, lifting more than 1.8 million people out of poverty, generating an additional U$1.1 billion of tax revenue, and creating over US$0.64 billion of additional economic welfare gains for the region.

TradeMark East Africa Board Chair Ali Mufuruki noted TMEA has made a huge difference to reducing the high barriers to trade in East Africa since its inception in 2010.

TMEA is proud of its contribution to improving trading environment in Tanzania since we started our operations in Tanzania in 2011. For example, we have supported Tanzania Revenue Authority to construct One Stop Border Posts at Holili, Mutukula and Kabanga which has resulted in reduction of border crossing times by at least 50 percent. Our support to TFDA has resulted in reduction of import and export permit processing time from at least 48 hours to an average of 2 hours. We look forward to increasing the pace of growth and creating much needed jobs in East Africa through this Norwegian support” Said Mr. Mufuruki.

TradeMark Tanzania Country Director John Ulangaadded the support to TMEA Tanzania is expected to improve its trade competitiveness and increase its profile as an investment destination within the East African Community.

The Norwegian government is an important partner in promoting regional and economic integration in East Africa. TradeMark East Africa will continue to focus its efforts on increasing trade and prosperity in East Africa, primarily through investing where there will be the biggest impact for East Africa’s people and the private sector. Facilitating regional trade is an effective means to alleviate poverty. This investment in supporting these projects is the catalyst needed to bring prosperity to the region, and Tanzania specifically” said John Ulanga.

2. TradeMark East Africa

TradeMark East Africa (TMEA) is a not-for-profit organisation funded by a range of development agencies with the aim of growing prosperity in East Africa through trade. TMEA works closely with East African Community (EAC) institutions, national governments, the private sector and civil society organisations.

TMEA seeks to increase trade by unlocking economic potential through:
· Increased physical access to markets;
· Enhanced trade environment; and
· Improved business competitiveness.
Increased trade contributes to increased economic growth, a reduction in poverty and subsequently increased prosperity.

TMEA has its headquarters in Nairobi with branches in Arusha, Bujumbura, Bukavu, Dar es Salaam, Juba, Kampala and Kigali.

To find out more please visit the TMEA website at www.trademarkea.com

3. Norwegian Government Development Policy

The Government takes an integrated approach to Norway’s foreign and development policy. Our development policy is designed to promote economic development, democratisation, implementation of human rights, good governance and measures that can lift people out of poverty for good. Priority is given to Public Financial Management, Energy, Humanitarian Assistance, private Sector Development, Climate change and Political Governance.

TAARIFA YA PAMOJA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ubaloziwa Norway waongeza msaada wake kwa Mpango wa UN Tanzania Moja kwa Dola za Marekani milioni 5.1

Eneo la Mkazo: Lengo la 2 – Kuondoa Njaa Kabisa & Lengo la 5 – Usawa wa Jinsia

06 Desemba 2017, Dar es Salaam –
Ubalozi wa Norway leo umewekeana saini makubaliano na Mpango wa Umoja wa Mtaifa Tanzania ambapo umeongeza kiasi cha Dola za Marekani milioni 5.1 katika makubaliano ya Mpango wa Msaada wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDAP II). Mchango jumla kutoka Norway kupitia UNDAP II nikiasi cha Dola za Marekani milioni 10.5.

Makubaliano hayo yalitiwa saini rasmi wakati wa tukio lililofanyika katika Ubalozi wa Norway jijini Dar es Salaam kati ya Balozi wa Norway, Mh. Hanne-Marie Kaarstad na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP, Bw. Alvaro Rodriguez.

Msaada wa nyongeza utatolewa kwa madhumuni ya kuendeleza kilimo chini ya Mpango Kabambe wa Pamoja wa Kigoma, na vile vile ili kupanua msaada kwa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango wa Taifa ili kumaliza vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

Akizungumza wakati wa sherehe hizo, Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mh.Hanne-Marie Kaarstad, alipongeza juhudi za Serikali ya Tanzania za kutoa hifadhi kwa takribani wakimbizi 340,000 katika Mkoa wa Kigoma. “Serikali ya Tanzania imeomba msaada kutoka kwa washirika wa maendeleo kuwaletea mabadiliko yenye tija jamii za wenye jina kuleta matokeo yanayokwenda Zaidi ya kukidhi mahitaji ya haraka ya kiutu. Msaada wa fedha kutoka Norway kupitia Mpango Kabambe wa Pamoja wa Kigoma ndiyo mwitikio wetu kwa ombi lile.”

Vilevile, Balozi Kaarstad alifafanua kwamba nchi ya Norway ni mwungaji mkono wa muda mrefu katika masuala ya haki za wanawake. Msaada wa Norway kupitia UNDAP II umewawezesha wanawake kupata mafunzo ya ujasiriamali, na pia kuchangia katika juhudi za kukomesha ukatili dhidi ya wanawake na watoto. Balozi Kaarstad aliwekea msisitizo msaada kwa Umoja wa Mataifa, “Tunaamini Umoja wa Mataifa unapotekeleza majukumu, yake kupitia, Mpango wa Kufanya Kazi
Pamoja unaleta matokeo bora mahali unapofanya kazi kwa manufaa ya Watanzania wote.”

Kwa upande wake, Bw. Rodrigue za liishukuru Serikali na watu wa Ufalme wa Norway kwa misaada yake na kueleza kwamba Norway imekuwa mshirika imara wa maendeleo kwa shughuli za Umoja a Mataifa kwa Tanzania.“Kwa miongo mingi, Norway imeendelea kuwa mshirika wa kuaminika wa Tanzania na Umoja wa Mataifa. Kwa kuweka mkazo katika mahitaji ya wanawake na watoto walio hatarini, rasilimali hizi zitatoa mchango muhimu katika kukidhi mahitaji ya wale ‘walio nyuma sana’ kama inavyoelezwa katika Malengo ya Dunia. Kwa kuongezea, Bw. Rodriguez alieleza kwamba Umoja wa Mataifa Tanzania unashauku ya kuimarisha ushirikiano na Norway katika miaka ijayo ili kuwasaidia watu wa Tanzania, waume, wake na watoto kuendeleza vipawa vyao vya kujitegemea kikamilifu.

Mchango wa Norway utatolewa kupitia Mfuko wa Pamoja wa Umoja wa Mataifa, ambao ulianzishwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini ili kusaidia utekelezaji wa Mpango wa Msaada wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa wa 2016-2021
Maelezo kwa Wahariri:

Mwaka jana Norway ilitoa mchango wa takribani Dola za Marekani milioni4.8 (sawa na Shilingi za Tanzania bilioni 10.6). Mchango wa nyongeza unajazia takribani Dola za Marekani milioni 5.1 (sawa na Shilingi za Tanzania bilioni 11.4).

Norway na Umoja wa Mataifa na Tanzania zimekuwa na uhusiano mzuri wa kiushirika wa muda mrefu ambapo nchi hiyo imetoa hapo kabla mchango wa Zaidi ya Dola za Marekani milioni 16 kupitia Mfuko wa Pamoja katika mzunguko wa kwanza wa programu – UNDAP I (2011-2016). Mchango huu wa sasa wa Norway utasaidia Umoja wa MataifaTanzania katika program yake mpya iliyozinduliwa hivi karibuni, UNDAP.

Tanzania tulipata haya mabilioni kutokana na mazingira mazuri ya biashara, yaliyokuwa set na serikali ya awamu ya tano chini ya Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo tarehe 28 October, do the right thing, mambo mazuri zaidi ya haya, yaje.
P
 
Hawa wa Norway ni watu safi sana mwaka huu kupitia kampuni lao kubwa la mbolea maarufu kama YARA wamegawa mbolea bure kwa wakulima maskini takribani 250,000 nchi nzima, kila mkulima amejipatia mifuko mitatu ya mbolea bure kabisa

Serekali ina la kujifunza hapa.
JPEG_20201007_185748_-1794452315.jpg
JPEG_20201007_185834_1986950859.jpg
 
Back
Top Bottom