Norway kazi za risk zina pesa nyingi, tusiogope risk katika maisha

Kuna mshkaj wangu yuko Estonia apo (Mzungu alishakuja bongo akakaa kwangu) ,mishe zake anafanya btn Norway na Estonia, hua ananishawish nije kuchek mishe uko .... Vp unakuelewa kulivyo uko chief? Watu wa Estonia hawana issue ya ubaguz? Economy ikoje?
Sina uzoefu na estonia ilanchi za hivyo hamnaga kitu, wewe shughulika na nchi za ulaya magharibi tu
 
Nimemshangaa pia..dah
Per Diem akiwa Mishe Mishe.

images (10).jpeg

images (9).jpeg

images (7).jpeg
 
Tapeli kazini

Kuna mzee amepoteza muda mwingi ulaya, anarudi anapanga kukimbilia kujificha kwao shinyanga ndani ndani huko

Ubaya wa nchi hizo mke na watoto hawataki kurudi nae kwahiyo anarudi kipweke zaidi

Mtawakamata wasiojitambua
Huo ndio ukweli wenyewe.
Ukitaka kufaidi, ulaya ni sehemu ya kuchuma ukiwa na nguvu halafu uwekeze nyumbani.
Nguvu zikiisha unarudi home kufaidi ulichokusanya.

Vijana wengi huwa wanapotea njia na kuoa wazungu...mzungu ni wa kustarehe naye, ila kama ni mke basi oa nyumbani ili nguvu zikiisha mnarudi home wote.
 
Kinachonisikitisha ni hiyo familia yake kugomea huko, anachofanya eti kwa umri wake ndio anatongoza mitandaoni wanawake walio bongo akamalizie nao uzee kijijini na inavyoonyesha dingi hajatengeneza hela yoyote huko
 
Huu uongo unakusaidia nini?

Mkuu twenzetu piemu unipe koneksheni ya kutimba ng'ambo. Bongo michosho baba'ake.

Halafu yule pacha ako wakuitwa 'Per Week' alipotelea wapi? Ni bonge la motivesheno spika... alidondosha siredi kuwa alipiga kazi ughaibuni akapata dollars mob akarudi bongo na kuanzisha shamba darasa la mizabibu Dodoma.

Wakuda wakamkalia kooni atoe lokesheni waende kujifunza kilimo. Akapotelea kizani hajawahi kutokeza hata pua!

Jamaa mwamba sana yule. Mpe hai.

-Kaveli-
 
Kuna mshkaj wangu yuko Estonia apo (Mzungu alishakuja bongo akakaa kwangu) ,mishe zake anafanya btn Norway na Estonia, hua ananishawish nije kuchek mishe uko .... Vp unakuelewa kulivyo uko chief? Watu wa Estonia hawana issue ya ubaguz? Economy ikoje?
Acha kuogopa issue za ubaguzi nenda kapambane na maisha yako tengeneza pesa ukirudi Tanzania na wewe uje kuwabagua wahindi..huku kwetu wahindi wanatubagua na bado tupo nao
 
Back
Top Bottom