North mara. . . . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

North mara. . . .

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by THE DON KIBEDAI, Jun 19, 2011.

 1. T

  THE DON KIBEDAI Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  [h=6]Oscar Gilbert
  KUHUSU MAUAJI YA MARA NA JINSI TUNDU LISU ALIVYOYEYUSHWA ALIVYOULIZA SWALI BUNGENI, BASI HUU NDIO UKWELI KUTOKA KWA MSHIKAJI WA CANADA, NIMEKOPI NA KUPASTE KAMA HIVI:

  Nimeiona sehemu naomba tuisome 'Habari nyeti za kiinteligensia zilizovuja kutoka ndani ya Barrick Gold
  HQ zinasema kuwa, afisa mmoja mwandamizi wa ngazi ya Juu Bw. Rob
  Krcmarov, amesema kwamba, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ya Nishati na
  Madini Tanzania, aliomba USD 5million ili kuzuia uchunguzi dhidi ya
  mauaji ya wananchi north Mara Tarime. Bwana Rob, aliyasema hayo
  alipokuwa akihojiwa na kamati maalum ya madini ya Bunge la Canada
  ambao walipata habari za rushwa iliyotolewa na Barrick. Hawa jamaa
  walikuwa tayari wamempa USD 2million mheshimwa mbunge, lakini Kiongozi
  huyo wa bunge akasisitiza kwamba lazima apewe USD 5million (yaani
  aongezewe dola milioni 3 zaidi).

  Kama mnavyoona, tangu wananchi wauwawe, mbunge huyu amezima juhudi
  zote za kutaka uchunguzi ufanyike.Cha kushangaza ni kwamba, walikana
  kuhusika na mauhaji ya Raia huko north Mara. Wanadai walivamiwa na
  hawajui hao wananchi waliuwawa kivipi.... Hii ni breaking news
  tutawahabarisheni zaidi, kwani swala la barick limekuwa kaa la moto
  hapa Canada, na hata Bunge la nchi hii inangilia kati kufanya
  uchunguzi wake. Tayari viongozi kadhaa waandamizi wa serikali ya
  tanzania wameshaitwa Canada'.
  Kama kweli tutafika?

  [/h]
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,017
  Likes Received: 3,201
  Trophy Points: 280
  Hiyo habari ishawekwa humu tangu mwezi wa 2, wewe ndio unajiona mjanja wa JF.
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
 4. Gold Digger

  Gold Digger Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The Don,

  Please check your facts and your sources, kwa sababu hii story haina ukweli wowote. Its factually wrong and the only intention is to tarnish the image of Barrick and of the MP. This story is ludicrous and even the 'facts' contained in it prove it to be fictitious. Why! Because:

  I. There is no investigation or inquiry based on a complaint filed in the parliament by any person or MP.

  2. The absence of Parliamentary inquiry or investigation makes the chairman of the Committee of Parliament devoid of any power to block or influence anything.

  3. The man mentioned as Rob is Global Vice President of Exploration for Barrick Gold. He has nothing to do with ABG or any issues related to operations. So citing him at the centre of the bribe straight away suggest the framer of the story did not do his/their home work well.

  4. There is plenary or *committee hearings in the Canadian parliament relating to ABG or North Mara. This is fiction.

  5. It begs to understand how the MP will stop an investigation which has not been launched. It would have been interesting to hear how he has managed to "Zima" jitihada za uchunguzi taking into account 1,and 2 above.

  6. Perhaps most important. Reputation of Barrick as *a listed company which is required to comply with the US's Foreign Corruption Act. The company and individuals can face serious financial consequences *for giving bribe including in incarsaration ! To check and ensure compliance with Foreign Corruption Act, Barrick *has instituted Code of Business Conduct which strictly forbids giving of bribe under any condition. It does not make sense that within a span of less than 3 weeks after the event and in the absence of investigation African Barrick Gold will bribe and then publicly declare to have given this bribe.

  7. Another fact that shows this is totally cooked up story to tarnish the MP and Barrick. It is said that the information has leaked, but how can there be a leakage if the same story also *confirms *Barrick VP was giving testimony to a Mining Special Committee in Canada. Those Parliamentary Committee are public and carry their business in the open.*
   
Loading...