North Korean satellites 'in ideal position' for EMP attack to take down aeroplanes

EMP (Electromagnetic pulse) ni technologia inayotumika sehemu mbalimbali lakini hapa naona yamezungumziwa EMP-BOMBS mwaka 1925 mwana fizikia bwana Arthur H. Compton ndie anajulikana kama mwasisi wa hii technology lakini mpaka mwaka 1940 ndipo maendeleo ya uhakika wa upatikanaji wa technologia hii yalikuwa yamefikiwa mwaka 1962 ndipo dunia ikatangaziwa kugunduliwa kwa silaha mpya ya EMP-BOMB ambapo nchi ya United States of America walifanya jaribio la silaha hii jaribio lililojulikana kama "Fishbowl” jaribio ambalo walitumia bomb la 1.4 megaton bomu ambalo madhara yake yalikuwa ni makubwa kuliko walidhani kwani madhara yaliweza kufika zaidi ya 900 miles kutoka eneo la majaribio lakini wataaramu wanasema bomu la megaton 1 linaweza kuaribu mifumo ya kitechnologia na mawasiliano kuanzia 30 miles mpaka 500 miles lakini hili la US liliweza kuharibu mifumo ndani ya 900 miles kutoka kwenye testing centre

Tukio la pili lilitokea mwaka huo huo 1962 lijulikanalo kama "Soviet Test 184" ambapo USSR(Russia) walilifanya ktk jimbo sasa ni nchi ya Kazakhstan ambapo madhara yalikwenda umbali wa 600 miles mpaka mwaka 1962 USSR alikuwa ameshafanya majaribio ya EMP 7



DATE TIME (GMT/UTC) TEST NUMBER OPERATION ALTITUDE (KM.) WEAPON YIELD
06 September1961
06:00 (approx.) Test No. 88 Thunderstorm 22.7 km. 11 kilotons
06 October 1961
07:15 (approx.) Test No. 115 Thunder 41.3 km. 40 kilotons
27 October 1961
unknown Test No. 128 K-1 150 km. 1.2 kilotons
27 October 1961
unknown Test No. 127 K-2 300 km. 1.2 kilotons
22 October 1962
03:40:45 Test No. 184 K-3 290 km. 300 kilotons
28 October 1962
04:21:20 Test No. 187 K-4 150 km. 300 kilotons
1 November 1962
09:12:00 Test No. 195 K-5 59 km. 300 kilotons

Zipo aina tatu za EMP BOMBS
1 E1
2 E2
3 E3
Zote kuanzia E1 mpaka E3zinatofautiana katika kutoa Coronal mass ejections ( CMEs) kuanzia quickest pulse E1 mpaka slowest pulses E3


Asee, kama mambo ndo hivi basi mnyoa kiduku bado ana safari ndefu. Watu washafanya majaribio kibao na hii kitu, tena miaka ile.

Halafu ya kiduku haiko wazi kusema effect yake ni Miles ngapi, ama kama ni E1, E2, au E3.
Shukran izzo, as always..

Mnyoa kiduku atulie tu sasa, huu mchezo hauhitaji hasira. Wenzake wako mbali. :)
ze kokuyo Ethical Ninja CEH
 
Wenye huo uwezo wa kufanya emp attack kwa sasa ni Marekani, Urusi na China.Labda na hao akina UK, France, nk.
Kwa North Korea wana safari ndefu sana.

Kama safari yangu ya kununua

img-plane-large.jpg



Mchina kumbe nae wanavuma.

Sio sana ... :)
 
Asee, kama mambo ndo hivi basi mnyoa kiduku bado ana safari ndefu. Watu washafanya majaribio kibao na hii kitu, tena miaka ile.

Halafu ya kiduku haiko wazi kusema effect yake ni Miles ngapi, ama kama ni E1, E2, au E3.
Shukran izzo, as always..

Mnyoa kiduku atulie tu sasa, huu mchezo hauhitaji hasira. Wenzake wako mbali. :)
ze kokuyo Ethical Ninja CEH

Anajivuna sana bwana Kiduku, ila mwisho wa kiburi hua ni aibu ...
 
Kama safari yangu ya kununua

View attachment 524974

Sio sana ... :)


Naona hujakata tamaa kabisa kufikia malengo yako ingawa safari ya kununua jet ni ndefu :)

One of the very famous Architecture(don't have the name at the top of my head) aliulizwa, what was the best piece of his work so far, akajibu hakuna hata moja. Ingawa ame design some of the most beautiful buildings around the world.
Yaani hakati tamaa kufanya even bigger things. Umenikumbusha sana huyo mtu.

So Keep it up, that's the needed spirit!
 
Sidhani kuna mwenye kiburi zaidi yake hilo eneo, si mbaya wakati mwingine cos inaonyesha msimamo lakini ukiangalia vitu kama hivi ambavyo wenzake wanavyo na walishafanya toka enzi zile, unaomba tu haya magonvi yasifike mbali cos kaachwa mbali pia.

Ngoja tuone mwisho wake utakua vipi, wanadai hakuna nchi yenye taarifa sahihi juu ya uwezo wake kijeshi....
 
Naona hujakata tamaa kabisa kufikia malengo yako ingawa safari ya kununua jet ni ndefu :)

One of the very famous Architecture(don't have the name at the top of my head) aliulizwa, what was the best piece of his work so far, akajibu hakuna hata moja. Ingawa ame create some of the beautiful buildings around the world.
Yaani hakati tamaa kufanya even bigger things. Umenikumbusha sana huyo mtu.

So Keep it up, that's the needed spirit!

Maisha ni kuchagua, pale utapo stop basi na hapo ndio unakua mwisho wa mchezo. Ili kufika lazima uendelee kukua na kuona ulipotoka kua ulikua mtoto na haukua unajua kitu.
 
Back
Top Bottom