North Korea yavutia watalii kwenda kutembelea nchini kwao

Unafikiria halijui hilo? Kule kawaida ukienda huwa wanakufuata fuata nyuma hatua kwa hatua, ukianza kuuliza uliza watu maswali yasiokua na kichwa, au uanze kupiga mapicha maeneo fulani fulani, utaona ghafla jamaa wenye suti nyeusi na miwani wanakuamrisha uingie kwenye gari lao.

Hapo ndio utaaga makinikia ya Bongo maana utachezea vitu vya kweli.
 
Haya mnaona mambo ya Kim haya?..sijui walimfanya nini kaka wa watu.

Otto Warmbier, American who had been detained in North Korea, has died -family statement.

Warmbier had been returned to the United States in a coma on June 13, and hospitalized in Cincinnati, Ohio.

Otto Warmbier, American Student Released From North Korea, Dies

BBCCHFg.img

Bullava
 
Haya mnaona mambo ya Kim haya?..sijui walimfanya nini kaka wa watu.

Otto Warmbier, American who had been detained in North Korea, has died -family statement.

Warmbier had been returned to the United States in a coma on June 13, and hospitalized in Cincinnati, Ohio.

BBCCHFg.img

Bullava

Aisei makubwa, mimi nilijua anawazuga hao Wakorea ili wamwachie, kumbe kafanyiwa kweli halafu kule ndio mnasema twende tukatalii.
Kule sio kwa kupeleka kiherehere, bora ubaki kwenu. Wamarekani hawajifunzi, bado wanaabiri mindege na kwenda kule.
 
Kafanyiwa kweli, sijui walimfanya nini huko gerezani. Halafu watakuwa wamemwachia baada ya kuona kimenuka.
Wamarekani hawaogopi, naona baada ya hii State department ndo wanatoa tahadhari kwa raia wake kwenda NK.
 
Back
Top Bottom