white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,312
- 13,277
Vikwazo vya kiuchumi ni tofauti na misaada ya kibinadamu, hapa tunazungumzia misaada ya vyakula , zimbambwe iko kwenye vikwazo vya kiuchumi miaka mingapi sasa, lakini mbona misaada ya kibinadamu kila leo wanapewa kupitia mashirika ya UN?Wewe ndio unaleta ubishi wa kitoto, mara ngapi huyo USA anaweka vikwazo na wananchi wanaumia.
Kuwa serious serious kidogo chief.