North Korea yarusha projectiles tatu angani, Japan yadhania kuwa ni makombora ya balistiki

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,919
15,604
4655d6d9b77a4de6a98a53063af3cf77_18.jpg


North Korea imerusha projectiles tatu angani tokea pwani yake ya mashariki. Projectiles hizo bado taarifa zake zaidi hazijafahamika, ingawa msemaji wa wizara ya ulizi ya Japan amesema kuwa zaonekana kuwa ni makombora ya balistiki, zilisafiri umbali wa Km 200 ktk kimo cha Km 50.

Majaribio haya ya sasa yamejiri baada ya North Korea kufanya jaribio mfano wake juma tatu iliyopita ambalo South Korea walililalamikia. Pia mataifa ya Ulaya yaliilaumu North Korea na kapeleka malalamiko yao umoja wa mataifa hatua iliyopelekea North Korea kujadiliwa ktk kikao cha faragha na Umoja huo.

North Korea walisisitiza kuwa jaribio lao la wiki jana lilikuwa ni jaribio la kawaida la kijeshi na hawakulenga kumuogofya yeyote zaidi ya kuimarisha utayari wa jeshi lao. Ilienda mbali kwa kusema mataifa yanayolalamikia hayajatumia ubongo ktk kufikia madai yao. Ikatishia kuwa itajibu madai yao kwa kuongeza majaribio zaidi. Majibu hayo yalitolewa majuzi ambapo leo juma tatu yameyapatilizwa kwa kurusha projectiles tatu.

Source: Aljazeera .
===============

North Korea fired three unidentified projectiles off its east coast on Monday, South Korea’s military said, two days after the North threatened to take “momentous” action in protest at outside condemnation over its earlier live-fire exercises.


Seoul’s Joint Chiefs of Staff said in a statement three launches took place from an eastern coastal town in the North’s South Hamgyong province. The projectiles flew for 200 kilometres (124 miles) at a height of 50 (31 miles) km.

"The military is monitoring for additional launches and maintaining readiness," it added.

A spokesman at Japan's defence ministry said North Korea launched what appeared to be "ballistic missile(s)", adding there had been no indication of anything coming down in Tokyo's territory or exclusive economic zone.

"These actions threaten the peace and security of our nation and region," said Yoshihide Suga, Japan's Chief Cabinet Secretary and top government spokesman.

"Considering the repeated launches of ballistic missiles up to now, it is a serious issue affecting the international community, including Japan."

In the past 10 days, North Korea has said leader Kim Jong Un supervised two rounds of live-fire artillery exercises in its first weapons tests since late November. Kim had entered the new year with a promise to bolster his nuclear deterrent and not to be bound by a major weapons test moratorium amid diplomatic deadlock aimed at convincing Kim to abandon his nuclear programme.


UPFRONT - What do we really know about North Korea? (3:02)
Vipin Narang of the Massachusetts Institute of Technology added: "Kim continues to test, improve and operationalise his force."

Diplomacy in deadlock
South Korea and some European countries protested against the second North Korea drills, which they believe involved ballistic missile launches in violation of UN Security Council resolutions.

North Korea has lashed out at the outside criticism, saying it has the right to conduct military drills in the face of United States and South Korean forces on its doorstep.

The Security Council did not issue any statement after discussing North Korea's March 1 launches last week, but five European members condemned what they called “provocative actions.”

Belgium, Estonia, France, Germany and the United Kingdom, which called for the closed-door meeting, said in a joint statement afterwards that the tests undermine regional and international peace, security and stability and violate unanimous Security Council resolutions.

The North’s Foreign Ministry on Saturday accused the five European countries of “repeating an absurd argument of condemnation and violation resolutions of the United Nations whenever we conducted military drills.”

“The illogical thinking and sophism of these countries are just gradually bearing a close resemblance to the US which is hostile to us,” a ministry statement said. “The reckless behaviour of these countries instigated by the US will become a fuse that will trigger yet another momentous reaction.”

Last week, Kim Jong Un’s younger sister levelled diatribes and crude insults against South Korea for criticising its earlier live-fire exercises, but her statement was followed by Kim sending a letter to South Korean President Moon Jae-in expressing condolences over its coronavirus outbreak.

Some experts say North Korea may intend to catch South Korea off balance before seeking help in reviving its struggling economy, since the US has said sanctions will remain in place unless it takes significant steps towards denuclearisation.

Nuclear talks between Pyongyang and Washington remain stalled since the collapse of the second summit between Kim and President Donald Trump in Hanoi early last year.

Pyongyang set Washington a unilateral deadline of the end of 2019 to offer it fresh concessions on sanctions relief and at a party meeting in late December Kim declared the North no longer considered itself bound by its moratoriums on nuclear and intercontinental ballistic missile tests.
 
Sababu zamsingi ambazo zitamfanya US Ampige Korea Nizipi ?!
Tuache ushabiki!
Marekani akitaka kumpiga Korea Kaskazini anaweza muda wowote na kuisambaratisha kabisa nchi yote.
Lakini hawawezi kuamka na kuwashambulia bila sababu za msingi.
Nasababu Ambazo Zinamfanya Mpaka Sasa Amuache Nizipi ?!


Kiufupi US Hatakaa Athubutu Kumpiga North Hatakama Anaweza Maana Anajua Akijaribu New York Aihamishie Jupiter Labda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu zamsingi ambazo zitamfanya US Ampige Korea Nizipi ?! Nasababu Ambazo Zinamfanya Mpaka Sasa Amuache Nizipi ?!


Kiufupi US Hatakaa Athubutu Kumpiga North Hatakama Anaweza Maana Anajua Akijaribu New York Aihamishie Jupiter Labda

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano ashambulie penye maslahi ya wamarekani.
Auwe wamarekani.
 
Mkuu marekani milele hatoweza kushambukia taifa lolote lenye mifumo ya anga imara, na lenye Nuclear, hilo hawezi milele, ataisha vikwazo vyote sio mas-hara na Nuclear weapons
Tuache ushabiki!
Marekani akitaka kumpiga Korea Kaskazini anaweza muda wowote na kuisambaratisha kabisa nchi yote.
Lakini hawawezi kuamka na kuwashambulia bila sababu za msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Korea ni Taifa linalojielewa kijeshi japo wananchi wake ni maskini ila ......un touchable yaani ukigusa hapo huko huko yanawakuta kwenye nchi yenu ...


Jamaa hatanii na ndiye aliyemsaidia urusi kudeveloo technologia ya s400

Huyo sio mwarabu .......

sent from toyota Allex
Hawa jamaa kwenye air defense inaelekea ni wazuri Sana waliwahi laumiwa na USA kwa Ku tusaidia pia kwenye iyo nyanja!
 
Back
Top Bottom