North Korea yarusha makombora mawili ya balistiki kwenye bahari ya Japan

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,919
15,604
wire-26230928-1584760512-49_634x424.jpg

Picha:Kombora la balistic la North Korea likitazamwa kwenye luninga huku ndugu mtazamaji akiwa ndani ya mask ya kujikinga na Corona virus

North Korea kashafanya yake leo. Ametest mitambo kwa kutupia makombora mawili ya balistiki ktk bahari ya Japan. Makombora hayo yalirushwa tokea ktk jimbo la Pyongan na kusafiri umbali wa km 410, kimo cha km 50 kabla ya kudondokea baharini.

South Korea wameiomba North Korea wastop kurusha makitu hayo maana yanaongeza taharuki juu ya hali ya taharuki ambayo tayari ipo duniani, ugonjwa wa corona.

Ikumbukwe kuwa mwezi huu North Korea ilifanya pia majaribio matatu tofauti ya kurusha roketi angani ambayo pia yalikemewa na mabeberu. Ambapo North Korea iliahidi kwa kuwa wanachonga sana kwa majaribio hayo ya kawaida, basi wao (North Korea) wataongeza majaribio zaidi. Pengine ndio wameamua kurusha vitu vyenyewe sasa, ballistic missiles.

Mtazamo wangu binafsi: tutazamie North Korea itatupia yale makitu yaitwayo Intercontinental ballistic missile siku chache zijazo.

Source: Voice of America
====
SEOUL, SOUTH KOREA - North Korea has test-fired what appear to be two short-range ballistic missiles, South Korea’s military said Saturday.

The weapons were fired from North Pyongan province and traveled about 410 kilometers, at an altitude of about 50 kilometers, before splashing into the sea off North Korea’s east coast, according to South Korea's estimates.

“We are aware of a North Korean missile launch this morning into the East Sea, will continue to monitor the situation and are consulting closely with our South Korean and Japanese allies,” said Col. Lee Peters, spokesperson for United States Forces Korea

In its own statement, South Korea's Joint Chiefs of Staff called on North Korea to “immediately stop” such “extremely inappropriate” acts, especially in light of the global difficulties caused by the coronavirus pandemic.

North Korea has conducted three rounds of short-range rocket tests this month, even while fighting off a potentially disastrous coronavirus outbreak.

Everything’s fine?

Pyongyang, which has called coronavirus prevention a matter of “national survival," has reported no infections. Even as cases swell across the globe, North Korea is in some ways projecting an image of normality.

This month, North Korean leader Kim Jong Un has observed multiple “artillery fire competitions” between Korean People’s Army units. In state media photos, Kim has not worn a mask, though top officials around him sometimes do.

In what appears to be another show of confidence in its ability to handle the pandemic, North Korea on Saturday announced it will go ahead with a major meeting of hundreds of political leaders. The Korean Central News Agency reported the plenary session of the Supreme People’s Assembly will be April 10.

North Korea attempted to seal its borders to keep out the coronavirus in late January, just after the outbreak emerged in neighboring China. That move foreshadowed the severe immigration restrictions later seen in countries around the world. But completely sealing North Korea’s borders would be difficult, since its economy relies on both formal and informal trade with China. Many experts say the coronavirus has almost certainly reached North Korea.
 
Naona na kwao kuna corona ,huyo jamaa kwenye picha kavaa baracoa

Sent using Jamii Forums mobile app
North walifunga mipaka yao mapema January baada ya China kupatwa na corona ili kujikinga na ugonjwa huo. Waliweka sheria kali za kuingia nchini, waNorth Korea waliokuwa nje ya nchi waliohitaji kurejea nyumbani, waliwekwa ktk karantini kwa siku 21. Hiyo sio ile ya mtu kujiweka mwenyewe, ni amri unawekwa na wafatiliwa kisha baadae ndio ukiwa Ok wajichanganyana na jamii.

North Korea hawajaripoti kisa chochote cha korona, ingawa mahasimu wao wa magharibi wanadai inaficha uhalisia.
 
hivi huyu kiduku anaangaliaga mahali pa kuvutia bangi kweli watu wako busy na corona ye yuko busy na makombora

team kiduku
Kuiweka nchi ktk utayari wa mapambano ya kivita, hasa kwa nchi ambayo ina tishio kubwa la usalama wake pia sio jambo la kupuuza.

Sambamba na hilo NK inafanya jitihada kubwa za kuepuka janga la korona. Pia wanasayansi wake wa mambo yatiba na afya wanaendelea na tafiti zao ktk mambo ya tiba na afya. Ni juzi kati tu walitangaza chanjo yao jumuishi ya magonjwa yasababishwayo na virus.
 
Hiyo nchi wananchi wataendelea kuishi maisha magumu sana sababu ya uongozi wa kiimla unafuga makombora watu wanakula nyasi, mwishowe unayatupa baharini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, umefika ukashuhudia? Au waleta stori za kubebeshwa na vyombo vya magharibi?

Mie nimewahi kukutana na kuzungumza ana kwa ana na MMAREKANI aliyekuwa akifanya kazi ktk shirika la kudhibiti matumizi salama ya nishati ya atomiki (The International Atomic Energy Agency, IAEA) ambapo yeye alikuwa ktk maswala ya kutumia mionzi mfano gamma rays na chemicals nyinginezo ktk kuboresha kilimo.

Alifanya kazi NK kwa miaka kadhaa. Nilimuuliza hali ya nchi ya North Korea na majibu yake yalikuwa ni tofauti na hizo tila lila za vyombo vya magharibi, ikiwemo nchi yake Marekani.
 
Nafkiri karusha hayo makombora kwa sababu jana au juzi marekani alitest kwa mara ya kwanza hypasoc, ndio maana kiduku akaona kama anatestiwa yy ndio maana jana akajibu
kiduku anawajambisha U.S.A duniani kote watu wamesitisha shughuli zao,yeye ndio anaona muda muafaka wa ku test mitambo!

Always trust yr self.
 
Watakuwa wamezoea na wanaona hayo ndiyo maisha.
Mwanadamu hana tofauti na mnyama sana.
Ukimzosha jambo stalifanya na litakuwa sehemu ya maisha yake.

Lakini Kiduku ni mshamba flani.
Haoni wenzake wana silaha za kimya kimya?
Hiyo nchi wananchi wataendelea kuishi maisha magumu sana sababu ya uongozi wa kiimla unafuga makombora watu wanakula nyasi, mwishowe unayatupa baharini tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakuwa wamezoea na wanaona hayo ndiyo maisha.
Mwanadamu hana tofauti na mnyama sana.
Ukimzosha jambo stalifanya na litakuwa sehemu ya maisha yake.

Lakini Kiduku ni mshamba flani.
Haoni wenzake wana silaha za kimya kimya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana wewe ndiye mshamba zaidi usiyejua namna ulimwengu wa kisasa unavyoendeshwa. Hujui hata umuhimu wa tafiti na matumizi yake ktk kuendeleza taifa fulani.

Ila sishangai kwa kuwa hata wale tunaowaita sisi wasomi wetu, tafiti zao huwa zaishia kwenye kuandika vitabu vizuri, Thesis, kwavyo wakatunukiwa shahada za uzamili (Masters) na uzamivu (PhD). Lakini kamwe huwa hazisaidii kivitendo kutatua changamoto za jamii zao.
 
Kwanza wewe ni Sikirimimimasikini
Nami sipendi umesikini...kwendaaa
Inawezekana wewe ndiye mshamba zaidi usiyejua namna ulimwengu wa kisasa unavyoendeshwa. Hujui hata umuhimu wa tafiti na matumizi yake ktk kuendeleza taifa fulani.

Ila sishangai kwa kuwa hata wale tunaowaita sisi wasomi wetu, tafiti zao huwa zaishia kwenye kuandika vitabu vizuri, Thesis, kwavyo wakatunukiwa shahada za uzamili (Masters) na uzamivu (PhD). Lakini kamwe huwa hazisaidii kivitendo kutatua changamoto za jamii zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1394906
Picha:Kombora la balistic la North Korea likitazamwa kwenye luninga huku ndugu mtazamaji akiwa ndani ya mask ya kujikinga na Corona virus

North Korea kashafanya yake leo. Ametest mitambo kwa kutupia makombora mawili ya balistiki ktk bahari ya Japan. Makombora hayo yalirushwa tokea ktk jimbo la Pyongan na kusafiri umbali wa km 410, kimo cha km 50 kabla ya kudondokea baharini.

South Korea wameiomba North Korea wastop kurusha makitu hayo maana yanaongeza taharuki juu ya hali ya taharuki ambayo tayari ipo duniani, ugonjwa wa corona.

Ikumbukwe kuwa mwezi huu North Korea ilifanya pia majaribio matatu tofauti ya kurusha roketi angani ambayo pia yalikemewa na mabeberu. Ambapo North Korea iliahidi kwa kuwa wanachonga sana kwa majaribio hayo ya kawaida, basi wao (North Korea) wataongeza majaribio zaidi. Pengine ndio wameamua kurusha vitu vyenyewe sasa, ballistic missiles.

Mtazamo wangu binafsi: tutazamie North Korea itatupia yale makitu yaitwayo Intercontinental ballistic missile siku chache zijazo.

Source: Voice of America
====
SEOUL, SOUTH KOREA - North Korea has test-fired what appear to be two short-range ballistic missiles, South Korea’s military said Saturday.

The weapons were fired from North Pyongan province and traveled about 410 kilometers, at an altitude of about 50 kilometers, before splashing into the sea off North Korea’s east coast, according to South Korea's estimates.

“We are aware of a North Korean missile launch this morning into the East Sea, will continue to monitor the situation and are consulting closely with our South Korean and Japanese allies,” said Col. Lee Peters, spokesperson for United States Forces Korea

In its own statement, South Korea's Joint Chiefs of Staff called on North Korea to “immediately stop” such “extremely inappropriate” acts, especially in light of the global difficulties caused by the coronavirus pandemic.

North Korea has conducted three rounds of short-range rocket tests this month, even while fighting off a potentially disastrous coronavirus outbreak.

Everything’s fine?

Pyongyang, which has called coronavirus prevention a matter of “national survival," has reported no infections. Even as cases swell across the globe, North Korea is in some ways projecting an image of normality.

This month, North Korean leader Kim Jong Un has observed multiple “artillery fire competitions” between Korean People’s Army units. In state media photos, Kim has not worn a mask, though top officials around him sometimes do.

In what appears to be another show of confidence in its ability to handle the pandemic, North Korea on Saturday announced it will go ahead with a major meeting of hundreds of political leaders. The Korean Central News Agency reported the plenary session of the Supreme People’s Assembly will be April 10.

North Korea attempted to seal its borders to keep out the coronavirus in late January, just after the outbreak emerged in neighboring China. That move foreshadowed the severe immigration restrictions later seen in countries around the world. But completely sealing North Korea’s borders would be difficult, since its economy relies on both formal and informal trade with China. Many experts say the coronavirus has almost certainly reached North Korea.
Kumbe nako corona imefika ...
Huyo jamaa au ni fashion
 
Back
Top Bottom