North Korea yaendelea kutimiza demand za Trump,hatimae yawaachia wamarekani waliokua kifungoni

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
7,418
9,599
Hatimae North Korea yaripotiwa kuachia huru wamarekani watatu ambao walikua wakishikiliwa nchini humo.

Hatua hii inafata baada ya Rais wa Marekani Donald Trump hapo awali kuitaka Korea kaskazini kuonyesha kwamba kweli ina Nia ya mazungumzo kabla ya kikao Kati ya hizo mbili.

Moja ya vitu alivyovitaka Trump ilikua ni pamoja na kuachiwa kwa wamarekani ambao walikua wakishikiliwa nchini humo.

North Korea reportedly hands Trump another big win by releasing US prisoners
 
Mambo mnayo yaona ni madogo sana, fikiria nin kitafuta kwa wanajeshi wa US walio S.Korea
US troop withdrawal not linked to possible Korean peace treaty
US troop withdrawal not linked to possible Korean peace treaty

Fikiria deal la Siraha nzito kutoka US kwenda SK
 
kiufupi hapo kiduku naw anatengeneza master plan y kujenga uchumi wake kwa silaa za nyuklia anazo so ni mda wa kuondoa vikwanza vya kibiashara na kupata pesa kutokana na deal za nyuklia kama ilivyo iran kutoka kwa usa always usa ni mwagaji pesa kwenye deal za nyuklia so ameplay smart sana kim
 
Kuna dalili anataka kitu kikubwa kwenye mazungumzo. Vikao Na China Na s.Korea marekani atakubari kuipa mabilioni ya dolla kama Irani? Huu ni mtego kwa marekani na jumuia ya kimataifa mkorea anatumia akili sana mzigo wote anataka kuwaachia.
 
Hatimae North Korea yaripotiwa kuachia huru wamarekani watatu ambao walikua wakishikiliwa nchini humo.

Hatua hii inafata baada ya Rais wa Marekani Donald Trump hapo awali kuitaka Korea kaskazini kuonyesha kwamba kweli ina Nia ya mazungumzo kabla ya kikao Kati ya hizo mbili.

Moja ya vitu alivyovitaka Trump ilikua ni pamoja na kuachiwa kwa wamarekani ambao walikua wakishikiliwa nchini humo.

North Korea reportedly hands Trump another big win by releasing US prisoners
Akishaaribu silaha anavamiwa kama kawaida
 
Tatizo kubwa watu wengi hawajui kwanini Kim alisimamia kwa hali na mali mpango wake wa kinyuklia na sasa anaamua kuacha na kufanya mazungumuzo na Marekani pamoja na S.Korea.

Marekani wanatabia ya "regime change" kama waliyofanya Iraq na Libya. Ukumbukwe kwamba hata Gaddafi alikuwa na mpango wa silaha za nuclear and America walimheshimu sana but Mwaka 2003 aliamua kuabandon huo mpango, and the rest is history.

Kim alijua kuna kipindi kitafika ambapo Marrkani ataamua kufanya regime change korea, and without nuclear huwezi kumuziia.

Mkataba wa silaha za nuclear ambao Kim alijitoa, ulikuwa unaruhusu nchi zenye silaha za nuclear zisiongeze utengenezaji and zisizo na silaha hizo zisijihusishe kabisa na kuzitengeneza, hapo ndipo Kim akaamua kujitoa ili atengeneza hizo nuclear and arudi tena mezani akiwa anakaa meza ya wamiliki silaha za nuclear, (a very big bergaining chip).

After millitary supremacy now is time for North Korea to seek Economic Supremacy.

Kim outsmarted Trump.
 
Ze kokuyo, ana haraka sana yakutaka kujuwa mtanange unaisha vip!
Me nimuhusie tu kikubwa tunacho kitaka sisi ni U.S. kufuata mashariti na vigezo!
Huyu jamaa ana haraka sana, akiona gazeti la Shigongo basi utamuona humu kisha achia nyuzi...
Nakwambia Masharti yetu lazima Trump ayainue yale Makalio yake.
Hapo sasa itakuwa bila bila
 
Kama nadharia hii inafanya kazi kwa angalau 45%, namheshim sana Kiduku Kim,anajua kuchanga karata zake. Kwa sababu alichojifunza,hao jamaa wakaguzi ukiwaruhusu,hata kama hawatakuta kitu,US na Jamaa zake watakutwanga tu. Na ni makosa hayo yaliyowagharim Iraq na Libya kama wadau walivyochangia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom