North korea waitishia marekani wasema watahamishia nguvu zao kwenye nyuklia ,waicheka marekani kwa dharau

junky

JF-Expert Member
May 11, 2017
413
976
"Marekani wanafikiri kurudia rudia vikwazo na kuongeza pressure ndio itapelekea sisi tuharibu Nucleur zetu.Hatuwezi kujizuia kucheka kwa wazo hili la kipumbavu "stupid idea" kama hilo. -"waziri wa mambo ya nje wa North korea

"Kama marekani wakiendelea kuonyesha ujeuri bila kuonyesha mabadiliko yeyote ile na kutoyafanyia kazi mahitaji yetu tunayorudia kuwaambia basi DPRK itaongeza kitu kimoja kwenye sera zake nacho ni "PYONG JIN" kuendelea kutengeneza silaha za Nucleur. -"waziri wa mambo ya nje wa North korea

North korea walisitisha kuendelea kutengeneza silaha za nyuklia na kuingia meza ya mazungumzo na marekani na South korea lakini waliendelea kusimamia msimamo wao hawatoharibu silaha zao za nyuklia bali watasitisha program za nyuklia.Tokea mwezi April North korea walihamishia nguvu zao kwenye kujenga uchumi kama Rais Kim alivyosema wameshinda kwenye Pyong jin sasa atahamishia juhudi kwenye kujenga uchumi wa taifa lake lakini hivi sasa wanatishia endapo marekani haitonyanyua vikwazo vyao basi watafufua sera yao ya Pyong jin ambayo ni kuendelea na program ya nyuklia


NB:Tuliambiwa North korea kaufyata na ataharibu nyuklia zake..kumbe hawana mpango wa kuharibu na wasipotolewa vikwazo watafufua PYONG JIN policy
 
Back
Top Bottom