son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 515
- 1,364
"Endapo Marekani ikaingiza pua yake kwenye masuala ya wenzake badala ya kuangalia masuala yake ya ndani katika kipindi ambacho wapo kwenye hali mbaya ya kisiasa basi wanaweza kukutana na kitu kibaya kisichorizisha wakashindwa kukikabili.-"Kwon
"Itakuwa vizuri kama mkifunga midomo yenu ,haitokuwa vizuri tu katika maslahi ya marekani na pia itakuwa faida kwenu kwenye uchaguzi unaokaribia.-"Kwon
North Korea wamezima mawasiliano yao yote na taifa kibaraka la South Korea jambo ambalo limeikera sana Washington.Hivyo North Korea wameitahadharisha Marekani kuwa wafanye yao,waangalie masuala yao ya ndani na sio kuangalia au kuingilia masuala ya wenzao la sivyo watafanya jambo baya kwa marekani wengi katika washington wanahisi North wataingilia uchaguzi wa marekani utakaofanyika mwezi novemba au chochote kile kitakachovuruga uchaguzi