North Korea sasa inastahili ichapwe

trump hamuogopi n.korea but anawaogopa allies wa n.korea (russia,china na iran). Yaani hapa wanaviziana tuu wote wanatamani kuingia vitani ila wanasubiri nani alianzishe na kwenye hili n.korea ni kama catalyst tuu wa kuspeed up huu mtifuano.
Angalau wewe unaona mbali
 
Ni vigezo gani vinatumika kuwapa idhini nchi moja kuwa na nuclear na nyingine kutokuwa na silaha za nuclear?

Kama ni silaha ambazo ni hatari na hazifai kutumiwa kwanini USA ana nuclear warheads zaidi ya 1000?

Acha kiduku atengeneze USA mwenyewe last week katest bomu lake hakuna aliyelalamika.

Kunye anye kuku akinya bata kaharisha.

Tatizo bwana mdogo Kim hana nidhamu!!!! Mbona nchi nyingine hazina kiherehere kama yeye.
Mbwembwe zooooote za Kim nchi ina jumla ya barabarani za lami za kilometa 728 tu!!! Mpuuzi kabisa Kim!!Source: Aljazeera
 
Tatizo bwana mdogo Kim hana nidhamu!!!! Mbona nchi nyingine hazina kiherehere kama yeye.
Mbwembwe zooooote za Kim nchi ina jumla ya barabarani za lami za kilometa 728 tu!!! Mpuuzi kabisa Kim!!Source: Aljazeera
Kwahiyo na wewe ukaamini?
Hivi ukiona picha za North Korea mazingira yake unayoyaona kwenye picha majengo unaweza yaringanisha na haya ya kwetu?
Mbwembwe gani sasa mbona last week USA kafanya majaribio ya bomu hujasema ni mbwembwe?
 
Hata wewe jina hekima kabisa.

Huwezi ukasema Kim Jong- Un, apigwe wakati wewe mwenyewe unalilia USA afanye maamuzi.

USA mwenyewe hajielewi yupo analialia kule Ulaya na Asia akitafuta huruma.

Kwa nini , usijiulize nani anayemkataza USA, Russia , Germany and the likes kuwa na hizo silaha!? Mbona na wao wanazo tena nyingi!??

Kim Jong-Un na NK hawajawahi kuripua hata kijiji cha nchi jirani ila USA kaua millions of people almost across the globe.

Ila vita haitakuwepo, na hata ikitokea Kim Un, ataua watu wengi usifikilie kuwa Japan na South Korea, zitakuwa salama hiyo haipo ni lazima wataumia tena sana.

USA , anawapa Kichwa huku nchi yake iko mbali kidogo.

Waza vizuri Boss.

Fikiri vizuri !!! ICBM ya North Korea inaweza kutupwa Calfornia!!!! USA ameshaliona hilo!!!! Kwahiyo usidhani Japani na South Korea ndio pekee walio kwenye risk.
 
Naona mtoa mada haupo serious

Yani kabisaa kwa akili zako unataka na Tz iingilie kati mpambano na north Korea??

Ivi unajua wale jamaa wakituma kombora huku third world country wengi hatuna uwezo wa kulizuia

Sisi tuache tuhangaike na Malawi kutuingiza mzozo na north Korea ni kutafuta mengine coz yule Kim hachelewi kututolea mfano ili marekani aone nguvu yakim

Sijasema TZ!!!
Tundu Lisu tu tumemshindwa!!!!!
 
LAZIMA DUNIA IWE NA BALANCE OF POWER.SIRAHA HATARI WABAKI NAZO HAO HAO WACHACHE ILI KUWEPO NA HESHIMA DUNIANI

Mkuu umetoa ushauri wa Busara sana !!!!
Kim Jong Un kumiliki silaha kama hizo ipo siku ataua watu wengi sana!!! Inabidi Adhibitiwe mapema iwezekanavyo!!!!
 
Mkuu umetoa ushauri wa Busara sana !!!!
Kim Jong Un kumiliki silaha kama hizo ipo siku ataua watu wengi sana!!! Inabidi Adhibitiwe mapema iwezekanavyo!!!!
Kwan kiduku kamtishia maisha nani. Na kwa nn marekani wanamiliki nuclea hausmi kuwa watatuua siku moja. Acha dogo awatie adabu washenzi hawa wamezoea kuonea vitaifa vidogovidogo. Marekani yupo vitani kuua nchi zote za kijamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom