Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 601
- 581
Uchambuzi mzr sanaNK kamvua nguo marekan adharan na marekan anawaza atakuwa na sura gan atakapo kaa meza moja na mtoto ambae anamsuli na kiburi zaid dunian japo ni taifa dogo na uchumi mdogo (masikin jeuri).
Pia anajua ni wakat mgum zaid kwake kwa kuendelea kunyonya dunia kwa kisingizio cha kutoa ulinzi au kuuza siraha maana kila taifa lenye uwezo wa kuwekeza ktk Nuclear atafanya hivyo na kuzaliwa NK zingine nyingi. Mfano Japan, US anajua uwezo wa technojia ya Japan na anajua japan hana iman nae hata kidogo akianza kutengeneza silaha na Nuke basi atakuwa hatar zaid na atakuwa sio msemaji tena na kufanya atakavyo kama ilivyo sasa.
Bado kitu kimoja dunia haijaamua na ndio utakuwa mwisho wa US kutafuta mbadala wa matumizi ya dollar kama international currency reserve na kuipa nguvu zaid fedha za muungano wa nchi nyingi kama Euro, na Brisc nao wakiwa serious wanaweza anzisha pesa yao na kuwa na nguvu kama Euro hapo US atakuwa amebak kutapatapa tuuu.
Us hana uzalishaji wenye tija nchin mwake zaid anatumia dollar kunyonya mataifa mengine