Norman Sigalla mkuu wa wilaya ya Hai, michango yetu ndio uliyotumia kuhonga wapigakura wa Makete? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Norman Sigalla mkuu wa wilaya ya Hai, michango yetu ndio uliyotumia kuhonga wapigakura wa Makete?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by migomo ya vyuo, Oct 31, 2011.

 1. m

  migomo ya vyuo Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa niaba ya wana Hai hatukubaliani na kitendo alichofanya mkuu wa wilaya ya Hai ndg Sigalla kwani haiwezekani uchukue michango yetu na ashindwe kutupa taarifa za kina ni kiasi gani na ni nani aliyechangiana amefikia wapi mpaka sasa. pia ni vizuri ukatoa majibu ya kutosha inakuwaje uteue wajumbe wa kamati bila mkurugenzi wa wa halmashauri kujua pia hatukubaliani kusema anaendeleza shule ambazo mhusika ,wenye shule amabye ni mkurugenzi hana taarifa. tunataarifa kuwa pesa zetu alizitumia mwaka jana na kupelekea kukamatwa na TAKUKURU ?sisi pesa zetu za elimu tulizozichanga ambazo ulizikusanya tulichangia kwa ajili ya elimu?tena nakumbuka tuliwahi kukutana wana Hai tuishio Darna sehemu nyingine tukatoa michango kwa ajili ya kuinua elimu na si vinginevyo na wala hatukuchangia kwa ajili ya kuwanufaisha mafisadi..kama itashindikana basi tutaaandamana hadi kwenye ofisini kwake ili atueleze pesa zetu zilipo......
   
 2. 13 mega pixel

  13 mega pixel JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2016
  Joined: Sep 10, 2013
  Messages: 3,838
  Likes Received: 3,228
  Trophy Points: 280
  Capture.JPG
   
Loading...