Noo...Chris Tucker beep me I will save!

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,005
7,180
Kuna jamaa mmoja alifumania maongezi kati ya mwanablog mmoja maarufu sana Afrika Mashariki na comedian Chris Tucker, kama ifuatavyo:

[Muchuzi: Hallow, goodmorning]

[Tucker: Morning buddy..how r u doing hommie?]

[Muchuzi: Me doing good, me saw u on video of jackie chain]

[Tucker: Hell Yeah..thats me, so how can u help u?]

[Muchuzi: Me want photograph of you to put on my globe]

[Tucker: Oh no problem buddy, hurry up]

BAADA YA PICHA

[Muchuzi: Can u give me your mobitel number?]

[Tucker: What is mobitel?]

[Muchuzi: I want to send message to u when u go marekani]

[Tucker: Oohh..my phone number, its plus one two, eight...]

[Muchuzi: Noo.. beep me I will save it]

DAH sikuweza kusikia yote manake body guard wa Tucker alikanyaga waya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom