Non-Violence Protest in TZ before Martin Luther King!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Non-Violence Protest in TZ before Martin Luther King!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JokaKuu, Nov 9, 2007.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Nov 9, 2007
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,098
  Trophy Points: 280
  Ni vizuri tukaijua Historia ya Tanzania kidogo. Hapa kuna suala la wananchi kudai matumizi mazuri ya kodi yao. These were PEASANTS putting their GOVERMENT to task. Vijana wa leo hatujakosa mifano ya kuiga.


  kupata habari nzima bonyeza hapahttp://www.dacb.org/stories/tanzania/mashambo_paulo.html
   
 2. M

  Mwana Wa Maryam Member

  #2
  Nov 9, 2007
  Joined: Oct 22, 2007
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afu wewe umekimbia nchi kwanini utake wenzako waige mifano.
   
 3. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2007
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..longtime no see!

  ..hiyo ilikuwa ni serikali ya mkoloni waliyoigomea!

  ..hii ni ya shemeji,mjomba,rafiki,n.k!

  ..inakuwa kaazi kwelikweli!swahili style!
   
 4. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  mie sikusoma hiyo atiko, lakini kama ni maandamano let them do it maana hawana kitu bora zaidi cha kufanya ukizingatia mnazi mmoja park imefungwa !
   
Loading...