Nomba ushauri kwa maeneo muhimu ya kufungua biashara ya simu na vifaa vyake Dar es salaam

Capitao

New Member
Feb 12, 2021
2
1
Kumekua na ushindani mkubwa sana wa kibiashara katika miaka hii ya karibuni, nikija kwa upande wa simu nazungumzia maduka kama aya APPLE SHOP/STORE etc ! Na maeneo Common ni kama Kariakoo, Kinondoni, Makumbusho, Mwenge, Sinza nakadhalika!

Nomba kufahamu maeneo mengine ambayo yanaweza kufaa biashara za namna iyo kwa hapa Dar ... au hata katika yale common ni eneo gani ambalo linakuja kwa kasi zaidi kwa izi siku za karibuni na bei za vyumba sio kubwa za kuogopesha.ASANTE
 
wakikujibu ni tag na unipe raman wapi unachukulia mzgo nataka kufanya hii biashara ila sina ABC za hii mambo
 
Back
Top Bottom